Mbowe: Sidaiwi hata senti NHC

Mbowe: Sidaiwi hata senti NHC

Namuona Mbowe akishinda kesi na NHC wakitakiwa kumlipa mamilioni. Na kwakua hawana uwezo wa kumlipa basi wanamuachia hizo hisa 25% zilizo bakia.
 
Ndugu.....kinachoumiza ni pale serikali inapotumia taasis zake za umma kudhoofisha vyama vya upinzani.Ifike mahali watu washindane kwa hoja na sio vinginevyo.
Wewe vipi? Inamaana mbowe asidaiwe kwa sababu ni chadema. Dawa ya deni ni kulipa tu no way.

Kuna wawekezaji wengi tu na wenye lengo la kulipa kodi huyu mbowe akafie mbele hukooo mambo ya ujanjaujanja hatutaki tena. Utapeli ni mwiko TZ.
 
Hii vita bora tukae kimya tuu sis wananchi coz tuna mengi yakufanya, NHC, MBOWE NA SERIKALI wanajuana sana na toka kitambo utakuta hilo deni wanapeana 10%. Na hiyo mahakama hakuna ile honestly coz now its running under Someone say
 
Namuona Mbowe akishinda kesi na NHC wakitakiwa kumlipa mamilioni. Na kwakua hawana uwezo wa kumlipa basi wanamuachia hizo hisa 25% zilizo bakia.
Hapa unajifariji tu. Hizo ni ndoto kama za Maalim Seif kuhusu kurudiwa uchaguzi.

Hapa ndio nitolee. Hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2038 na tayari jengo litakuwa limebomolewa na muwekezaji kutoka korea ya kaskazini atakuwa pale.
Wakati huo mbowe atakuwa amezeeka na kesi atashindwa.
Nakushauri usishindane na serikali inamkono mrefu. Hapa mbowe anatapatapa tu kama mfa maji.
 
Wewe vipi? Inamaana mbowe asidaiwe kwa sababu ni chadema. Dawa ya deni ni kulipa tu no way.

Kuna wawekezaji wengi tu na wenye lengo la kulipa kodi huyu mbowe akafie mbele hukooo mambo ya ujanjaujanja hatutaki tena. Utapeli ni mwiko TZ.
Hivi katika lile sakata la minofu ya samaki serikali ililipa bilioni ngapi kama fidia?
 
Wewe mpuuzi tu. Hapa tunaongelea mbowe wewe unakuja kupayuka payuka vitu vya ajabu ajabu tuuuu. Ni kiasi gani uwezo wako wa kuchanganua mambo ulivyo mdooooogo!! Utakuwa umekaririshwa. Be free bro acha kubebewa akili.
 
Sina Usingizi !!!!!!.jpg
 
Hapa unajifariji tu. Hizo ni ndoto kama za Maalim Seif kuhusu kurudiwa uchaguzi.

Hapa ndio nitolee. Hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2038 na tayari jengo litakuwa limebomolewa na muwekezaji kutoka korea ya kaskazini atakuwa pale.
Wakati huo mbowe atakuwa amezeeka na kesi atashindwa.
Nakushauri usishindane na serikali inamkono mrefu. Hapa mbowe anatapatapa tu kama mfa maji.
Teh teh teh..... unadhani wakorea nao ni wapuuzi na wakurupukaji!? Unadhani kuna mfanyabiashara mjinga kiasi cha kununua jengo lenye kesi mahakamani!?
Huu ubabe na ujinga wenu ndio umewafanya mkala matapishi yenu na kuwapigia magoti wafanyabiashara wa Sukari na kwenda kuwalamba miguu wafanyabiashara waanze kutumia Bandari ya Dar. Acha kuishi kwa hisia na hamasa. Qwi Qwi Qwi.....
 
Wewe subiri meli airport. Kama hujui kusoma hata picha huoni.
Mbowe nitolee. Ndio kwaheri tena billcarnas.
Hapo anatapatapa tu lakini jua ndio mwisho wake wa utapeli hapa tz labda ahamie nchi nyingine akafanye utapeli.
 
mbowe aliingia mkataba na nhc mwaka 1997 wa kulikarabati hilo jengo kwa 100% na kulimiliki kwa 75% na serikali 25%.
kwa miaka hii 19 mbowe amelipa 25% ya serikali kwa wakati.
baada ya nhc kuvunja mkataba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba nhc inapaswa kumlipa mbowe 75% kwa miaka 80 iliyobaki.
 
Habari zenu wakuu,
Leo Gazeti la Tanzania Daima kuna habari isemayo kuwa, Mbowe aendelea kusisitiza kuwa hadaiwi senti yoyote na NHC.

Habari hiyo imeandikwa kwa maandishi yenye rangi nyekundu kuonesha msisitizo nadhani. Maana habari nyingine zote zimeandikwa kwa rangi nyeusi.
Siyo kitambo sana tangu Mahakama izuie NHC kupiga mnada mali za Mbowe hadi hapo Kesi ya msingi itakapotatuliwa.

Najiuliza tu, ilikuaje NHC ikamwacha Mbowe muda mrefu hivyo bila kulipa kodi?? Kwa mawazo yenu wadau mnaonaje hili suala? Mkipanga logic zenu, kuna angalau Mantiki yoyote inayokuja kwamba Mbowe anadaiwa kweli?

Nawasilisha..

Wahi ukachukue viroba vyako vya week end, kazi uliyotumwa umeifanya vizuri
 
mbowe aliingia mkataba na nhc mwaka 1997 wa kulikarabati hilo jengo kwa 100% na kulimiliki kwa 75% na serikali 25%.
kwa miaka hii 19 mbowe amelipa 25% ya serikali kwa wakati.
baada ya nhc kuvunja mkataba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba nhc inapaswa kumlipa mbowe 75% kwa miaka 80 iliyobaki.
Huo mkataba upo wapi. Ulete hapa tuusome. Huyo mbowe ni tapeli wa kisiasa. Hakuna huo mkataba mbowe anawadanganya. Anatakiwa alipe deni aache utapeli umepitwa na wakati. Na ujue mbowe anaelekea kuzeeka. Anatakiwa aachane kabisa na utapeli azeeke vyema.
 
Wewe mpuuzi tu. Hapa tunaongelea mbowe wewe unakuja kupayuka payuka vitu vya ajabu ajabu tuuuu. Ni kiasi gani uwezo wako wa kuchanganua mambo ulivyo mdooooogo!! Utakuwa umekaririshwa. Be free bro acha kubebewa akili.
Ni mawili:Ama umeathirika na matumizi ya viroba au utakuwa unafikiria kwa kutumia makalio.
Tarehe Mosi Septemba Mbowe alitangaza maandamano ya kupinga Udikteta.Tarehe hiyo hiyo Mchechu akiwa kiongozi wa taaisi ya umma anaenda kumtupia vitu nje Mbowe.Kwanza uelewe wananchi hawapendi udikteta na pili waliomtupia Mbowe vitu vyake nje watalazimika kutumia pesa ya umma kulipa fidia.

Lengo la kumyanyasa Mbowe ni kutaka kujaribu kumyamazisha.Serikali hii haitaki kukosolewa.Ndio maana mnawanyima ata uhuru wa wapiga kura kuangalia wabunge wao mubashara wakiwa bungeni.
Tusubiri Mahakama iamue.
 
mbowe aliingia mkataba na nhc mwaka 1997 wa kulikarabati hilo jengo kwa 100% na kulimiliki kwa 75% na serikali 25%.
kwa miaka hii 19 mbowe amelipa 25% ya serikali kwa wakati.
baada ya nhc kuvunja mkataba mwaka huu kwa mujibu wa mkataba nhc inapaswa kumlipa mbowe 75% kwa miaka 80 iliyobaki.

Kwani Mbowe ni babako?
 
Wewe fanya yako sisi tunafanya yetu. Ila mbowe aache utapeli.
Kama utalima mahindi ni issue zako private hazituhusu sisi.
Mbowe alipe deni. Aache kuwayawaya.
Katelefoni na magu-fail walisema kama usemavyo kwamba wafanyabiashara na waende tu haina shida, wao watawahudumia wanaolipa kodi!!! Utadhani wengine wakikwepa kodi, matokeo yake wameshaanza kuwalamba viatu wafanyabiashara hao wasiisusie serikali, waitumie bandari kupitisha biashara zao, waendelee kufanya biashara TIZII wasitimkie mabotswana na misumbiji na malawi au zambia na sauzi.

Sasa na majibu yako kwetu wakulima yatakunyoosheni mlioko town,tutahakikisha mshahara mzima unanunua vibaba vitano tu vya unga!!!
 
Haueleweki umeandika maneno meeengi ndani yake pumba tu. Punguza kunywa viroba sio vizuri.
 
Mh. Mbowe
Ni vyema ungetoa uthibitisho wa nyaraka kwenye gazeti. Ili uthibitishe kauli yako.
Hivi uliona wapi Mali ya umma ikatwaliwa na mtu binafsi bila nyaraka zozote.
Thamini muda wa watu unapotoa taarifa kama hizo kwa kuto kuhangaika kusoma habari zisizo kuwa thabiti.
Vinginevyo unatafuta huruma kwa wananchi ukiwa una fahamu ukweli.
Wewe ni mahakama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom