zambez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 2,071
- 255
Kwanini anae mdai asitoe risiti ya mwisho .......tungoje mahakama basi...Hakuna matata, aweke copy za risiti kuonyesha malipo hata ikiwa magazine atoe tu kueleweka.
Kwanini anae mdai asitoe risiti ya mwisho .......tungoje mahakama basi...Hakuna matata, aweke copy za risiti kuonyesha malipo hata ikiwa magazine atoe tu kueleweka.
Peleka policcmKwangu mimi madai ya Mbowe kukarabati lile jengo mwaka 1993 kwa TZS 1.3b ni ushahidi tosha kuwa alikuwa anafanya ujanja ujanja katika mkataba huo na NHC kwa kushirikiana na baadhi ya watu toka serikalini/NHC.
Tupia picha tafadhaliGazeti lenyewe halina ofisi, habari zinaandikiwa chini ya mti
Kwani hujasikia wamepewa muda walipe? Mbowe alipewa wiki tatu na NHCVp kuhusu WIZARA ZINAZODAIWA ilhali kodi wananchi tunalipa. Tena bn 2.?zenyewe siyo STORY ila Mbowe. Ally choki alishasema CHUKI BINAFSI HAIFAI.
Wewe ni mahakama?
Kumbe kuna huu ugonjwa mpya!! Kweli inabidi tiba itafutwe kwa haraka sana.Magufuli Flue inawahenyesha wengi sana.
atashinda we hakimu?anadaiwa na ccm au nhc?kama hadaiwi ametupiwa vitu nje si aonyeshe receipt alizolipia?ili arudishiwe vitu ndani?asitafute huruma ya chama chake alipe tu kodi hayo hayahusiani na vyama ni mambo yake binafsi!Mbowe atashinda kesi na itakuwa kashfa kubwa sana kwa CCM.
Tanggu wafukuzwe hawajaonyesha anwani mpya ya ofisi. Bado ofisi za gazeti zinasoma anwani ya zamaniTupia picha tafadhali
Hakuna cha Magufuli flu wala nini, ni tabia za visasi tu za viongozi wetu hasa wa ccm wanaodhani kukomoa wenzao ni dili.Magufuli Flue inawahenyesha wengi sana.
Endelea kuota ndoto zako za Al Nacha. Ukigutuka usingizini utamkuta Mbowe yupo juu na wewe bado unatapa tapa kwenye umasikini wako ulio komaa mifupani mwako.Huo mkataba upo wapi. Ulete hapa tuusome. Huyo mbowe ni tapeli wa kisiasa. Hakuna huo mkataba mbowe anawadanganya. Anatakiwa alipe deni aache utapeli umepitwa na wakati. Na ujue mbowe anaelekea kuzeeka. Anatakiwa aachane kabisa na utapeli azeeke vyema.