Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,079
Viva Kamanda Mbowe..
Haki ya hawara yake joyce mukya?
Kwa maneno makali namna hii, namkumbuka Chacha Wangwe(R.I.P) Saidi Kubenea, Bomu la Sowete, M/kiti wa Temeke n.k, Huyu Mbowe ana roho ya kikatili sana, hafai kuongoza hata kwa robo siku!
Bajaj zipo kibao Arusha ya Leo.
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
Kwani kutumia mikokoteni au baiskeli kutasaidia kuondoa umaskini? Huo ni wivu wa CCM tu.Inasaidia nini katika kupunguza umasikini
Jiaandae kukusanya rambirambi maana umezoee misiba kukutoa kimaisha kama ilivyotokea kwa Mwangosi...I cant wait to collect my dues....
Safari hii nitakuwa nachukua hata card payments..
Hizo kazi zilitakiwa zifanywe na fedha ambazo CCM wanazitumia kununua wapiga kura.
wambie wanokusanya kodi ya wanakalenga kama hamna dawa na kodi wanakusanya ni wakati muafaka ss kuwatoaHayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
nadhani anza wewe kwanza, usitumie hayo madude yaliyo mbele, ..ccm na mapolis ni majanga!
Mbowe anaongoza wanywa gongo na wavuta bangi
Mbowe ni kati ya ajabu ajabu sana...
Amri ya polisi ni Amri halali.