Mh Mbowe kwa Siasa zako za kitoto na kuongea bila kufikiri wewe ni nani ole wako Mshindwe haki ya mama ntakudharau milele na hapa Dodoma ukirudi cjuwi utaweka wapi uso wako. Kama unaona Hoja zako na chama chako zilikuwa na Mashiko Mnataka kutumia nguvu ya nn?
Sasa hapo anayetaka kutumia nguvu ni nani? Yaani Watanzania wengi ni wajinga sana, Tume inasema ni haki CDM kutumia usafiri wowote kama hauna aina yeyote ya Matangazo then huyu kamanda anadai eti wasitumie helcopter kwa kuwa ni kuvunja sheria za uchaguzi, sasa anayesimamia sheria ya uchaguzi ni Tume au polisi? Acha kutetea ujinga kwa ujinga wako wa kutojua mambo na kusoma vitu KUCHI wewe hapo anayetumia nguvu ni polisi na si Mbowe