Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
akizungumza katika mkutano wa kampeni kijiji cha sadani , alisema kauli ya kamanda wa polisi Iringa kuzuia chopa yao ni mkakati wa kutaka kusababisha maafa na yupo tayari kufia angani siku ya jumapili . ' Tutaruka kwa chopa mbili , RPC MUNGI APENDE ASIPENDE , NIPO TAYARI KUFA .... NAZUNGUMZA KWA MAMLAKA KAMA KIONGOZI MWENYE DHAMANA . NCHI HII KILA MTU ANA HAKI YA KUTUMIA USAFIRI WOWOTE .... HATUTAOGOPA KURUKA KWA CHOPA , MPENI SALAM KAMANDA WA POLISI ' ALISEMA MBOWE .
Kwa maneno makali namna hii, namkumbuka Chacha Wangwe(R.I.P) Saidi Kubenea, Bomu la Sowete, M/kiti wa Temeke n.k, Huyu Mbowe ana roho ya kikatili sana, hafai kuongoza hata kwa robo siku!