Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,058
- 134,393
Komaa Mbowe bora ufie angani kuliko kufia Dubai.
lini utaacha kubana pua
Komaa Mbowe bora ufie angani kuliko kufia Dubai.
afe salama huyo mbowe,tumechoshwa na unafiki wa cdm,lkn pia wakumbuke ktk chaguzi za madiwani walitumia chopa na kuambulia maumiv,ni ufisadi mtupu wa cdm kukodi chopa kwa ndesamburo ili pesa ya ruzuku izunguke mlemle kwa familia ya kichaga.
Kama Rais mujika anatembelea Volkswagen bito Mh Mbowe yeye anaonashida kutembelea V8 halafu tunaambiwa eti hawa niwazalendo na wakombozi mmm mi ninawalakini. Anyway wanayohaki ya kufuja pesa ya maskini walipakodi Wa nchi hii
Komaa Mbowe bora ufie angani kuliko kufia Dubai.
kweli unaliwa tigo wewe,mbowe anaweza kulisha ukoo wako wote mpaka na shule mkasoma,pimbi wewe.
Wameshakufa wangapi wa maana na faida hadi wewe mbowe mzinzi utishie watu?
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
Siku nikikikutafuna.lini utaacha kubana pua
Mods hili ni tusi,naomba hatua zichukuliwe,nadhani mwanijua nikiamua kufunguka dhidi ya watu wa aina hii.Nategemea utekelezaji.
CHADEMA ni chama makini kabisa kinachofuata sheria na nguvu ya hoja. RPC kama hoja yake ni kelele za chopa basi azuie pikipiki na magari kwa sababu hata zenyewe miungurumo yake ni kelele tosha. Tutumie baiskel na mikokoteni ya punda tu sababu zenyewe hazitoi miungurumo!!!
Siku nikikikutafuna.
We bweghe mbona huna akiliMbowe atakutumia katika uhai wako wote
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
Puuuumbaaaa!
ulivyo mpumbafu hujiulizi na hutaki kukiambia chama chako cha mizigo kiache kuagiza hayo magari???
Hivi siku hizi Mh Mbowe ndiye anayetoa vibali vya kuagiza maV8?????
pambaaaaaaffffffff
timu ya makamanda waliopo kalenga naiamini mno ! No way back !