Mbowe: Nipo tayari kufia angani

Mbowe: Nipo tayari kufia angani

tupe hiyo hesabu tukuelewe. fafanua ili uonekane unaongea kama msomi

Ww ni mji* kabisa mbn huzunguzii pesa ambazo nyinyi magamba mmezificha uswisi kwamba zingenunua madawa kwa Watanzania,umepanic mbuzi ww,huna hoja kafie mbali.
 
Tungekuwa na matahira kama Mungi ktk kila mkoa,nchi hii isingekarika.Huyu jamaa ni tahira sana
 
Mbowe ni kati ya ajabu ajabu sana...

Amri ya polisi ni Amri halali.

Unachekesha kweli. Yaan polisi wakikuambia pinda 7 unapinda haraka sana kwa kuwa amri yao ni halali? ----- kweli
 
Afie angani wakati akienda kula bata na kimada wake Dubai
 
Ni tz daima sio nipashe acha uongo. Nipashe haiwezi kuandika huo udaku

Una matatizo ya akili we we,kati ya post 20 za mwanzo asilimia 70 ni upuuzi wako tumechoka kusoma uwehu wako,kwani mnalipwa kwa Kila post huko lumunba?
 
nec na polic wote wanafanya kazi kama chama cha siasa....ni hatari sana jeshi la polis linavyo fanya kazi kama cha siasa.
 
Kwa nini tusilisajili jeshi la police rasimi kuwa chama cha siasa? Maana wanafanya kazi zilizo nje ya taalamu yao,nimependa majibu ya jaji lubuva hayana chembe ya unafiki
 
afe salama huyo mbowe,tumechoshwa na unafiki wa cdm,lkn pia wakumbuke ktk chaguzi za madiwani walitumia chopa na kuambulia maumiv,ni ufisadi mtupu wa cdm kukodi chopa kwa ndesamburo ili pesa ya ruzuku izunguke mlemle kwa familia ya kichaga.
 
Iringa huko mara nyingi kuna vitu vizito sana kuweni makini wadau. RIP MWANGOSI.
 
Matokeo yakitoka Msjidai mlirusha Chopa kuhamasisha Katiba Mpya na kuimarisha Chama na si kampeni za Kalenga!
 
"Tutaruka kwa Chopa mbili, RPC Mungi apende asipende niko tayari Kufa... Nazungumza Kwa Mamlaka kama Kiongozi mwenye Dhamana, Nchi hii kila Mtu ana haki ya Kutumia Usafiri wowote...Hatutaogopa Kuruka kwa Chopa, mpeni Salaam Kamanda wa Polisi". alisema Mbowe. Source chadema page

Kama Rais mujika anatembelea Volkswagen bito Mh Mbowe yeye anaonashida kutembelea V8 halafu tunaambiwa eti hawa niwazalendo na wakombozi mmm mi ninawalakini. Anyway wanayohaki ya kufuja pesa ya maskini walipakodi Wa nchi hii
 
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa

Usiwe mvivu wa kufikiri wajibu wa kununua dawa ni wa serekali kwa kodi tunayolipa au wewe hulipi kodi?
 
Chopa ni usafiri kama vyombo vingine, kamanda wa polisi Iringa ach kuwa na mahaba na ccm, chopa itaruka tu, wewe ni ujitamkie tu matamshi utakayo, kwa sheria ipi.
 
cheap popularity, this guy failed in school, failed in business and failed in politics! pathetic!

kweli unaliwa tigo wewe,mbowe anaweza kulisha ukoo wako wote mpaka na shule mkasoma,pimbi wewe.
 
Kama Rais mujika anatembelea Volkswagen bito Mh Mbowe yeye anaonashida kutembelea V8 halafu tunaambiwa eti hawa niwazalendo na wakombozi mmm mi ninawalakini. Anyway wanayohaki ya kufuja pesa ya maskini walipakodi Wa nchi hii

Jaribu kutumia akili ndogo kufikiri huitaji kuwa na digrii kukijua hicho unachojiuliza,lazima utambue kuna utofauti kati ya matumiz ya Mali za umma na mali zako binafsi,nakushangaa pale unapotumia nguvu nyingi kufananisha maisha ya mtu na Mali zake binafs sawa na kiongozi na mali za umma.
achana na ushabiki wa ccm,ni vigumu sana kuijua kweli ukiwa ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom