Mbowe: Nipo tayari kufia angani

Mbowe: Nipo tayari kufia angani

Hongereni chadema, komaeni na hao makamanda wa polis wahuni na vibaraka wa ccm!

hakuna namna yoyote ya kuepuka chopa kwenye anga la kalenga kesho , wavumilie maumivu tu , hakuna upenyo wa kukimbia na masanduku , kama MBWAI NI MBWAI TU !
 
chadema wanatafuta sababu za kulipuwa mabomu kalenga
 
Inasaidia nini katika kupunguza umasikini

kuwa na taarifa ni rasilimali tosha,inasadia kueneza taarifa kwa hao maskini wajue kwanini wao ni maskini,nani kasababisha na jinsi ya kuondokana nao!
 
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa

Wewe ni mpuuz kweli,kodi yetu inafanya nini? hivi cdm ndio tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi?
 
cheap popularity, this guy failed in school, failed in business and failed in politics! pathetic!
 
Mbowe ebu kuwa na huruma na pesa za walipa kodi.Kama chopa ni muhimu mbona haujawahi kuitoa katika majanga na maafa yanayotokea kama mafuriko n.k
 
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa
na safari zisizo na tija za d.haifu zingennua madawa tani ngapi?kamanda wa polisi anataka kuwasaidia magamba wenzake kuiba kura,chopa itaruka tu nyinyi wezi wa kura...
 
Back
Top Bottom