Mbowe: Nipo tayari kufia angani

Mbowe: Nipo tayari kufia angani

asanteni viongozi kwa kutuwekea habari yote .
 
Nilishasema na nasema tena, udhaifu wa tume ya uchaguzi na matamko ya polisiccm yatatupeleka pabaya. Watanzania wapenda amani hatutaki kufika huko. Kama vyombo hivi haviwezi kutenda kazi zao kwa uwazi na haki, wahusika ktk vyombo hivyo lazima wachukuliwe hatua kali za kisheria. Hatutaki kuona aliyekosa kupiga kura Kalenga kwa sababu za kutokuonekana ktk daftari la wapiga kura. Na tunajua ni toleo la 2010 la wapiga kura litakalotumika. Uzembe (aidha unafanywa makusudi au kwa kutokujua) wa tume ya uchaguzi kubandika majina wakiwa wamechelewa ukomeshwe mara moja.
 
Wanachama wao wengi ni Misukule na mataahira, wanafurahia kila utumbo wa Lema, Mbowe na Slaa!
mbona ccm wanachama wao ni mamburula tu? Wabunge wao wanaburuzwa tu kwenye suala la katiba, na wahuni wao kina kinana, jk na nape!
 
Iwe jua au mvua chopa itaruka hatuwezi kusikiliza maneno ya mataahira na vibaraka wa magamba(rpc)
 
Mbowe na LEMA wanahamasisha fujo halafu kikishwaka wao wanasevu.
Mbowe aache kabisa kuudanganya UMMA kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya wanakalenga!
wahamasishaji wakubwa wa vurugu ni ccm na mapolis!
 
mbona ccm wanachama wao ni mamburula tu? Wabunge wao wanaburuzwa tu kwenye suala la katiba, na wahuni wao kina kinana, jk na nape!

fikiri kwa kutumia kichwa mkuu, sio hayo madude uliofungasha huko nyuma!
 
timu ya makamanda waliopo kalenga naiamini mno ! NO WAY BACK !
 
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa

Kodi ikusanye CCM kwa ajiri ya kununua magari aina ya V8 halafu madawa ya hospital wanunue CHADEMA huoni ata AIBU.
 
Mh Mbowe kwa Siasa zako za kitoto na kuongea bila kufikiri wewe ni nani ole wako Mshindwe haki ya mama ntakudharau milele na hapa Dodoma ukirudi cjuwi utaweka wapi uso wako. Kama unaona Hoja zako na chama chako zilikuwa na Mashiko Mnataka kutumia nguvu ya nn?
 
Nilishasema na nasema tena, udhaifu wa tume ya uchaguzi na matamko ya polisiccm yatatupeleka pabaya. Watanzania wapenda amani hatutaki kufika huko. Kama vyombo hivi haviwezi kutenda kazi zao kwa uwazi na haki, wahusika ktk vyombo hivyo lazima wachukuliwe hatua kali za kisheria. Hatutaki kuona aliyekosa kupiga kura Kalenga kwa sababu za kutokuonekana ktk daftari la wapiga kura. Na tunajua ni toleo la 2010 la wapiga kura litakalotumika. Uzembe (aidha unafanywa makusudi au kwa kutokujua) wa tume ya uchaguzi kubandika majina wakiwa wamechelewa ukomeshwe mara moja.

ASANTE SANA KIONGOZI KWA MANENO YAKO MAZURI SANA , HAYA YOTE YANAFANYIKA KUWEZESHA CCM KUiba KURA , LAKINI SAFARI HII CDM HAITAKUBALI UJINGA HUU .
 
Kama yuko tayari kufa, kwanini siku ile alikimbia Bomu pale soweto?
 
Back
Top Bottom