Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.
Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha