Mbowe na Slaa Wawajibike au Wawajibishwe?

Mbowe na Slaa Wawajibike au Wawajibishwe?

hili huna uthibitisho, hata hawa wameuwawa na askari, lakini mawaziri ndiyo waliowajibishwa kama viongozi wa operation. Sasa Mbowe na Slaa na wao wawajibishwe kwa kuwa viongozi wa M4C
Pole sana! Avatar yako inanikumbusha aya moja katika Bible Yesu alipowaambia mayahudi kuwa wamevaa mavazi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali!
 
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

unasumbuliwa na kiungulia wewe!
 
hili huna uthibitisho, hata hawa wameuwawa na askari, lakini mawaziri ndiyo waliowajibishwa kama viongozi wa operation. Sasa Mbowe na Slaa na wao wawajibishwe kwa kuwa viongozi wa M4C



Hata hili la kukatisha ziara ya mbunge viti maalumu (demu wake) kwa tamaa zake za kimwili yatosha kuwa sababu ya kujiulu
 
Back
Top Bottom