Mbowe na Slaa Wawajibike au Wawajibishwe?

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
250
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
24,212
2,000
Kikwete awajibike,pinda halafu kinana,wakiwajibika then tuongelee la mbowe na slaa
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

Hisa ya akili yako iko below 47
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
Wote waliopoteza maisha katika mikutano ya M4C waliuwawa na Polisi. Nani awajibike?
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,671
2,000
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha
hapo ni tofauti maana walioua wanajulikana na waliowatuma wanajulikana
 
Ranks

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,592
2,000
Acha njozi za asubuhi,kwa nn haujasema wale mawaziri wametolewa kafara tu wa kuwajibishwa ni Presder na PM???'
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Vijana wa kitanzania bwana. Acha tu wakenya watukejeli, kama IQ zenyewe ndo hizi...!!?
 
ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
...kamwe kunguru hawezi kufugika, hata mki-spin vipi bado dhambi ya usaliti itaendelea kuwaandama mpaka kaburini... I'm afraid kuwaambia ukweli kuwa ni lazima Zitto akiri hadharani kuwa anatumiwa na CCM kuihujumu CDM...
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,592
2,000
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

Sr. Magdalena

Umefikije hitimisho hilo?

1. Nyororo waliouwa Daudi mwangosi ni Polisi chini ya Kamanda kamuhanda na ccm kupitia kikwete wamempandisha cheo.

a) Je muuwaji anapopandishwa cheo inashiria utawara bora?

b) Chadema walihusika vipi katika mauwaji ya Daudi mwangosi?

2. Kwenye mauwaji ya watu watatu Arusha kwa usimamizi wa kamanda wa polisi Thobias Andengenye-CCM kupitia kikwete wamempandisha cheo Andengenye kama zawadi.

a) Je muuwaji anapopandishwa cheo inashiria utawara bora?

b) Chadema walihusika vipi katika mauwaji ya watu watau kwa risasi bilakuwa na bunduki?

3. Katika mauwaji ya Ally zona Morogoro, Sijafaham kuhusu shilogile kamanda aliyesimamia mauwaji hayo kama kapewa zawadi yoyote au la.

4. Sote tulimsikia Mwigulu akisema kwamba endapo Arusha wataendeleza ukaidi wa kutoichaguwa ccm, basi watakufa.

nakweli soweto ikalipuliwa na watu wakafa, walemavu wakapatika, wajane nk-cha ajabu mwigulu alikimbilia bungeni

kusema chadema wanahusika, Lukuvi naye akasema chadema wanahusika nk

a) Kwa kauli za mwigulu na Lukuvi kwanini polisi isiwatie ndani mpaka hapo wametoa ushahidi maana wanafahamu?

b) kwanini kikwete anasita kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauwaji hayo? nini kipo nyuma yake?

Chadema wanahusikaje kiasi kwamba viongozi waachie ngazi ilhali wauwaji wanaeleweka tena kwa makusudi?
 
Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

hivi hayo mauaji yalitokea kutokana na amri ya viongozi wa chadema au ni amri ya serikali chini ya viongozi wachache waandamizi wa ccm? Je! Chadema ina jeshi la polisi? Mwangosi aliuawa na askari polisi wa chama gani? Muuza magazeti naye? Pole kwa kushikiwa akili. Hivi yale maafa ya mtwara na lindi mbona mmeyamezea au sababu hakuna kiongozi wa ccm ambaye hakudhurika?

Kwanza katika viongozi wote namsifu mmoja tu na siyo rais, kagasheki aliyeona kweli yampasa kujiuzulu na sio hao wenu mnaofanya ili serikali isipinde.

Wakiondoka hawa ndiyo utapata utendaji mzuri
1. Said Mwema - askari kuua raia
2. Pinda - Waziri mkuu asiyekuwa na utu wala kauli.
3. Mwanasheria mkuu wa serikali kwa kuona sherua zinapindishwa bila ya kuchukua hatua.
4. Wakuu wa mikoa na wilaya kwa kushirikiana na watendaji wao wa chini kunyanyasa raia na kufacilitate hata usafiri
5. ..........

20. Rais - kwa kutoa maamuzi baada ya mauaji kutokea /kutokuwa na utashi katika masuala ambayo ya muhimu/kuchukua maamuzi yanayotokana na matukio
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom