Mbowe na Slaa Wawajibike au Wawajibishwe?

chadema kinaongozwa kilaghai na kidanganyifu kwa kiasi kikubwa.

Wewe kila thread itakayo taja Chadema lazima uikimbilie na kuchangia ----- mtupu.
Samahani waweza kutusaidia kujua umri wako na elimu? Maana tusijekuwa tunapoteza muda kujibishana na katoto ka darasa la nne bila kujua. Nimetaja darasa hilo baada ya kulinganisha post zako na level hiyo.
 
mbowe na slaa wanapaswa kumwachia mwenye chama ambaye ni zitto.

Chama maana yake muunganiko wa watu wenye mtazamo na dhima ya malengo fanana kwa makubaliano ndani ya katiba

kuzingatia miiko, sera sheria na taratibu kwa lengo la kushika dola.

Zito sio chama - chama ni zaidi ya mtu mmoja. hakika Mulugo na kawambwa wametuhalibia taifa kabisa.
 
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

Ripoti ya Lembeli inaonyesha kabisa kuwa mawaziri waliowajibika hawakuwa viongozi wa operesheni bali alikuwa ni mkuu wa majeshi (ambaye ripoti imemtaja kuwa alikuwa anapokea taarifa ya maendeleo ya operesheni moja kwa moja) na huyu alitakiwa kutoa majeshi na Raisi Kikwete na operesheni ilikuwa ikisimamiwa na Pinda

Wawajibike
- Mwamunyange
- Pinda
- Kikwete
 
chadema kinaongozwa kilaghai na kidanganyifu kwa kiasi kikubwa.

Ulaghai unatokanana na uongozi dhifu wa ccm

-Unafahamu maana ya kuvuana magamba? kwanini single ya magamba ikatokea ccm

-Unafahamu maana ya mawaziri mizigo? kwanini single hii imetokea ccm

-Unafahamu maana ya mafisadi kukithiri bila kuwajibishwa na serikali ya ccm

Hayo machache nikiashiria cha serikali inayotawawala kilaghai nayo niserikali ya ccm siyo chadema
 
Sr. Magdalena

Umefikije hitimisho hilo?

1. Nyororo waliouwa Daudi mwangosi ni Polisi chini ya Kamanda kamuhanda na ccm kupitia kikwete wamempandisha cheo.

a) Je muuwaji anapopandishwa cheo inashiria utawara bora?

b) Chadema walihusika vipi katika mauwaji ya Daudi mwangosi?

2. Kwenye mauwaji ya watu watatu Arusha kwa usimamizi wa kamanda wa polisi Thobias Andengenye-CCM kupitia kikwete wamempandisha cheo Andengenye kama zawadi.

a) Je muuwaji anapopandishwa cheo inashiria utawara bora?

b) Chadema walihusika vipi katika mauwaji ya watu watau kwa risasi bilakuwa na bunduki?

3. Katika mauwaji ya Ally zona Morogoro, Sijafaham kuhusu shilogile kamanda aliyesimamia mauwaji hayo kama kapewa zawadi yoyote au la.

4. Sote tulimsikia Mwigulu akisema kwamba endapo Arusha wataendeleza ukaidi wa kutoichaguwa ccm, basi watakufa.

nakweli soweto ikalipuliwa na watu wakafa, walemavu wakapatika, wajane nk-cha ajabu mwigulu alikimbilia bungeni

kusema chadema wanahusika, Lukuvi naye akasema chadema wanahusika nk

a) Kwa kauli za mwigulu na Lukuvi kwanini polisi isiwatie ndani mpaka hapo wametoa ushahidi maana wanafahamu?

b) kwanini kikwete anasita kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza mauwaji hayo? nini kipo nyuma yake?

Chadema wanahusikaje kiasi kwamba viongozi waachie ngazi ilhali wauwaji wanaeleweka tena kwa makusudi?

Hukuskia maneno ya slaa kabla ya mkutano wa nyololo,au unajitoa ufahamu tu
 
chama kilishageuka sacos hata dhana ya kuwajibishana iko mikononi mwa mtei tena kwa kuangaliana usoni.
 
Ulaghai unatokanana na uongozi dhifu wa ccm

-Unafahamu maana ya kuvuana magamba? kwanini single ya magamba ikatokea ccm

-Unafahamu maana ya mawaziri mizigo? kwanini single hii imetokea ccm

-Unafahamu maana ya mafisadi kukithiri bila kuwajibishwa na serikali ya ccm

Hayo machache nikiashiria cha serikali inayotawawala kilaghai nayo niserikali ya ccm siyo chadema

kwani ccm ndiyo inaenda kusimamia ubaguzi ndani ya chadema na kula ruzuku za chama?
 
Ripoti ya Lembeli inaonyesha kabisa kuwa mawaziri waliowajibika hawakuwa viongozi wa operesheni bali alikuwa ni mkuu wa majeshi (ambaye ripoti imemtaja kuwa alikuwa anapokea taarifa ya maendeleo ya operesheni moja kwa moja) na huyu alitakiwa kutoa majeshi na Raisi Kikwete na operesheni ilikuwa ikisimamiwa na Pinda

Wawajibike
- Mwamunyange
- Pinda
- Kikwete

nilishakuambia usipende kuvutia bangi chooni inakuvuruga ona ulivyoandika pumba sasa.
 
Hukuskia maneno ya slaa kabla ya mkutano wa nyololo,au unajitoa ufahamu tu

Sheria gani iliyovunjwa?

1. Ule mkutano ulikuwa ofisini/ofisi ya chadema-picha za mgando zinaonesha vizuri.

2. Je sheriagani iliifanya ccm kuwa na mkutano mkubwa zaziba wa Ghalib bilali siku hiyo hiyo?

3. kwanini polisi wakazuie mkutano wa ndani waache ule wa nje kule zanzibar-walitumia vigezo gani?
 
nilishakuambia usipende kuvutia bangi chooni inakuvuruga ona ulivyoandika pumba sasa.

mwa 4

Hatuhusudishi matusi, mala sio ujanja kumwaga matusi na matusi sio hoja.

Jibu hoja za mtu, kama umeshindwa au hujafaham achana na mjadala kwanini utukune?
 
kuna watu huwa wanakua miili lakini akili zao huwa hazikui sambamba na ukuaji wa miili yao,
The same like U mtoa mada,think b4 2 say something.
 
kwani ccm ndiyo inaenda kusimamia ubaguzi ndani ya chadema na kula ruzuku za chama?

a) Umekielewa kilichoandikwa? rudia kusoma kisha jenga hoja?

b) Unaweza kuthibitisha ubaguzi kwa ushahidi pasi na shaka?

quote_icon.png
By adolay

Ulaghai unatokanana na uongozi dhifu wa ccm

-Unafahamu maana ya kuvuana magamba? kwanini single ya magamba ikatokea ccm

-Unafahamu maana ya mawaziri mizigo? kwanini single hii imetokea ccm

-Unafahamu maana ya mafisadi kukithiri bila kuwajibishwa na serikali ya ccm

Hayo machache nikiashiria cha serikali inayotawawala kilaghai nayo niserikali ya ccm siyo chadema
 
wenzenu wanaojitambua huko nzega Tabora. nyinyi endelezeni majungu mitandaaoni Dr yupo kazini.

attachment.php
 
hili huna uthibitisho, hata hawa wameuwawa na askari, lakini mawaziri ndiyo waliowajibishwa kama viongozi wa operation. Sasa Mbowe na Slaa na wao wawajibishwe kwa kuwa viongozi wa M4C

Kinana awajibke kwa uuaji watembo,
 
Hata kuhalalisha gongo ni uuwaji. Mhusika awajibishwe
 
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha

Akili zako na za Nape ni za kupandikiza, yaani Serikali yenu iue kwa makusudi ya kisiasa then mulete mawazo mgando hapa, mwambieni Jk aachie ngazi kwa vyombo vyake vya usalama kuua raia
 
Juzi tumeona Rais Kikwete akiwawajibisha Mawaziri Wanne kwa kutengua nafasi zao za uwaziri na hii ni kutokana na na ripoti iliyowakilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge Mh. Lembeli ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa hiki za binadamu ikiwa ni ubakaji, mauaji n.k katiba operation ya kutokomeza majangili dhidi ya wanyama pori hasa Ndovu.

Huko nyuma tumeshuhudia watu wakipoteza maisha na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kwenye operation za vyama vya siasa hasa Movement 4 change, M4C, sasa basi ni wakati muafaka kwa viongozi wa CDM, kuiga mfano na kuwajibika au kujiwajibisha
Pinda na serikali yake yote alitakiwa kujiuzulu, kuanzia mauaji ya Arusha, Iringa,Ulimboka,Kibanda.........
 
Back
Top Bottom