Mbowe na Lema Kwisha habari

Mbowe na Lema Kwisha habari

Status
Not open for further replies.
Ora mam,mbowe so ---- kutangaza kwamba anaushaidi af akifiche,is all abt look uehahidi wakutosha ili kwamba atakapo wasilusha ushahidi uwe Imara na Ukweli
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

jipuuuze mwenyewe!!! Mtanzania gani mwenye roho mbaya ivo
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Na lina la Kanisani la Joseph Mchapakazi walirusha polisi pia ?!
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

kwisha habari nini? we kweli makopo.
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Si ndio hao walioponea chupuchupu SOWETO ars???Wan bahati haoo au?Believe or not "GOD HAS A REASON".
 
Usiku kucha mnawawaA Mbowe na CHADEMA kalaleni, watakuja kuwakuna ndotono lol
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Mimi nilidhani umeguswa na tukio kumbe sivyo? Yaani wewe kinachokuuma ni mbowe na lema!
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Nina mashaka kama wewe ni mtanzania kweli.
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

red, hivi wewe unatania yani tuwapuze kisa lumumba wakulipe!!!!!!! majitu mengine bwana. kwanini usitushauri tukupuuze wewe kwa kuwa hata ID yako hatujui actually we ni nani....sasa ulivyo wa ajabu unataka tuwapuze wanaofahamika tena kwa umakini wao....toa viroba hapa
 
Makupa unashangaza sana wewe umepata wapi uhalali wa kusema kuwa hawana ushaidi wakati haijadhibitika kuwa wameshindwa kutoa? Na je kama wakitoa na kuonekana kuwa ni kweli na wakati huo tumewapuuza (kwa maoni yako) huoni kama utakuwa hujatenda haki? Halafu wewe haraka unaitoa wapi ya kuanza kuhukumu? Na huo ushaidi unataka wakautoe kwa wale wale wanao watuhumu? Jaribu kuchanganua mambo kuliko kujifungia kwenye box la uccm. Unakuwa kama dodoki unazoa tu hata huchuji? Jiangalie unatia aibu.
 
Sijui huyu katoka kunywa Viroba! Wapalestina unajua maana yake au unajiokotea tu maneno ya Wanywa Viroba?
 
Buku 7 ukoo wa panya wasaliti wa Watanzania.
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Tukishapuuza hawa, turudi kwa Lukuvi tumpigie makofi na vigeregere kwa uongo uliotukuka wa shetani!
 
Shwain zako unakaa soweto nn ww?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

mkuu umesema jambo la msingi sana..hawa makamanda feki ni wa kupuuzwa tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom