MAN OF CHANGES
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 507
- 191
Tuwe wavumilivu tuache matusi tujenge hoja. Hayo ni maoni yake kama binadamu
Tujenge hoja gan wakati hakuna hoja
aliyoileta hapa?
Tuwe wavumilivu tuache matusi tujenge hoja. Hayo ni maoni yake kama binadamu
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
utafiti umeonyesha kuwa korosho na karanga kutoka Tanzania ni hatari kwani zaweza kuleta kansa ya ini.
Jihadharini sana kutumia karanga na korosho huku ukigida viroba.
siamini kama moja ya mamoderator anaserukamba
Usiseme watanzania wenzangu, sema MAFISADI WENZANGU
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Bora hata angepata hiyo div 4 ya 34 labda angekuwa na akiri kiasi furani.Kama hata namba yake ya mtihani ilikuwa inamsumbua kuiandika ilhali ilkuwa imebandikwa kwenye meza yake,,mnategea wana JF mtu kama huyu atoe posts za maana?.HUYU ANACHOKIWEZA NI KUPIGA CHABO TU.anatutafutia ban makalio huyu.!hivi ndivyo vitoto vilivyomaliza fm4 mwaka uliopita,aishukuru necta kwa kum-risitia,akapata points 34.!
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Kama habari kwisha kazi mbona unaomba tuwapuuze?