mbezibeach 2
Senior Member
- Jun 28, 2011
- 166
- 51
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Hizi Thread za kuandika huku unapumuliwa kisogoni ni HATARI SANA.