Mbowe na Lema Kwisha habari

Mbowe na Lema Kwisha habari

Status
Not open for further replies.
Duuuh,kweli msimu huu magamba mmechanganyikiwa,hamuamini macho na masikio yenu kama watu huwa wanarekodi matukio kwenye mambo yao,nasikia mkulu anaomba apelekewe ushahidi magogoni!?yeye ni mahakama au?mwambie mtulie msitoke mapovu,asubiri adhabu ni jela maisha yaliyosalia,kunyongwa uwanja wa taifa huku tunashuhudia au kunyongwa na maiti inapigwa jela milele,majambazi wakubwa.
 
anatutafutia ban makalio huyu.!hivi ndivyo vitoto vilivyomaliza fm4 mwaka uliopita,aishukuru necta kwa kum-risitia,akapata points 34.!

ccm mara nyingi wanachukuwa magoigoi kwaajili ya propaganda, uwezi ukamchukuwa kijana anae jitambuwa kufanya upuuzi kama huuu wa mleta thread,
 
-------- wewe firauni kama mbowe na lema wapalestina

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Katika pita pita yangu kuwatafuta wapuuzi siku ya leo, nimekuona wewe kupitia uzi huu hivyo ninakupuuza wewe!
 
Mwenzako makupa wa moshi sio mbulura kama wewe jipange ppppuuuuffff
 
Mleta uzi wewe ni mbulula tuu, kwa taarifa uako ccm ndio inazidi kuchukiwa na wananchi.yaani mlivyo lipua na kuuwa watu na mabomu ndio mmezidisha chuki kwa wananchi.mtachukiwaa mpaka lichama lenu likufie mbali.wapumbavu wakubwa nyie maccm wauwaji msio na huruma.
 
Ww mtoa mada kanye kwanza,tatizo umekurupuka,moto wa uamsho ukisha washwa huu zimiki,nahii nilaana yanyerere,kwa magamba na bado hamja changanyikiwa.
 
Umeambiwa hakuna uhakika?? Ushahidi upo utatolewa mahakamani, watu wenye hekima hawapeleki ushahidi youtube ama hapa jukwaani! Watu hawa waliojaa ytashi ushahidi unatunzwa kwa ajili ya mahakamani! Wenye yshahidi qa kuyngaunga kama wakina Mwigulu ndio huwa wanahaha humu jamvini na youtube
 
Mkuu nikusahihishe kidogo lema na mbowe si wanadiasa ni wanaharakati tu.
 
Umeambiwa hakuna uhakika?? Ushahidi upo utatolewa mahakamani, watu wenye hekima hawapeleki ushahidi youtube ama hapa jukwaani! Watu hawa waliojaa ytashi ushahidi unatunzwa kwa ajili ya mahakamani! Wenye yshahidi qa kuyngaunga kama wakina Mwigulu ndio huwa wanahaha humu jamvini na youtube
Mkuu sasa hekima ya mbowe iko wapi hayo macho na fikra zako unazitumiaje, aaaaaaaaaaaaa mkuu tafdhari.
 
Mleta uzi wewe ni mbulula tuu, kwa taarifa uako ccm ndio inazidi kuchukiwa na wananchi.yaani mlivyo lipua na kuuwa watu na mabomu ndio mmezidisha chuki kwa wananchi.mtachukiwaa mpaka lichama lenu likufie mbali.wapumbavu wakubwa nyie maccm wauwaji msio na huruma.
Mkuu kwani ccm ndiyo imelipua mzee wako mbowe sikasema polisi wewe tena unasema ccm sasa tuwaeleweje?
 
Ushamba wa siasa wa akina lema na Mbowe ndio uliotufikisha hapa.. Wangepima ufanisi wa hoja zao na sera zao kama kweli zinatekelezeka kwa kiwango gani nadhani ingekuwa n jambo jema sana. Huwezi kuona tuu kuwa watu wanakuunga mkono majukwaani ukaons ndio unakubalika ukavimba kichwa.
 
Ukiambiwa ukweli unalaani....natumai ungesema wanaCCM wenzangu na sio waTanzania wenzako, watanzania hatuna hulka ya kupuuza mambo...lazima tusikilize kila upande na kuufanyia kazi. Ndio maana lazima uchunguzi huru ufanyike ili kuweka bayana ukweli.
Kauli za CHADEMA na zile zq CCK zote zina ujumbe fulani uliojificha hivyo lazima zifanyiwe kazi bila upendeleo na sio kupuuza kama unavyopendekeza. Sikuungi mkono , inabidi Upevuke kimtazamo. Kwani waliopoteza maaisha ni ndugu zetu, watani wetu, shemeji zetu, rafiki zetu, jamaa zetu zaidi ni watanzania wenzetu kumbuka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom