Mbowe na Lema Kwisha habari

Mbowe na Lema Kwisha habari

Status
Not open for further replies.

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,343
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
 
Unahoja nzuri lakini ungekuwa na hekima usingemtuka Mbowe na Lema kwa kuwa na wewe unaonekana unayafanya yale yale unayoyapinga na pengine unaonekana mbaya kuliko hao unaowatuhumu!!
Kwa kifupi una ujumbe mzuri lakini umekosa hekima!!!
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Hakuna Mtanzania wa asili mwenye akili tope kama zako. Wewe ni litakataka fulani lisilojitambua. Wtu tumepotelewa na ndugu wewe unaleta dhihaka! Umekalia ushabiki hata kwenye mambo serious!
 
utafiti umeonyesha kuwa korosho na karanga kutoka Tanzania ni hatari kwani zaweza kuleta kansa ya ini.
Jihadharini sana kutumia karanga na korosho huku ukigida viroba.
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Mpuuzi wewe akuna mtu atakaye hata kuchania upuuzi huu hapa
 
Nahisi kama vile unawashwa sehemu za siri..
 
utafiti umeonyesha kuwa korosho na karanga kutoka Tanzania ni hatari kwani zaweza kuleta kansa ya ini.
Jihadharini sana kutumia karanga na korosho huku ukigida viroba.

Habari za siku ndugu? Nina muda sijakuona hapa jukwaani...
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Kaambie walio kutuma kwamba, huko nimekuta GREAT THINKERS. Sio kama ninyi MBULULA mnao kimbizana Lumumba. Pia wakumbushe kwamba hata kina Bokassa walitamba hivi hivi, ila mwisho wao ......!
 
Tuwe wavumilivu tuache matusi tujenge hoja. Hayo ni maoni yake kama binadamu
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)

Naona kiwango cha ujinga wako bado kipo rumande..unapotaka wapuuzwe (hoja ya kipumbavu) unataka wanachi wamwamini na kumsikiliza nani?
 
Tatizo umeingiza udini hapo kwenye wapelestina.
 
Yabidi wengine mpimwe huenda m-metokea milembe breki ya kwanza JF....
 
Tukio la kigaidi jijini Arusha limeshtua umma wa watanzania kutokana kusababisha maafa kwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.Inasikitisha sana wanasiasa kama Mbowe na Lema kuanza kubwabwaja kuhusu aliyesababisha mlipuko bila kuwa na uhakika wa wanachokisema.Watanzania wenzengu ninawaombeni tuwapuuze hawa wanasiasa haswa Mbowe na Lema(wapalestina)
Wewe una uhakika na unachokisema kwamba ni tukio la kigaidi?, umefanya lini uchunguzi kubaini hilo?, Unajua maana ya ugaidi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom