Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
kwa chama kipi sasa kitakachoweza kuichukua hii nchi zaidi ya ccm?hapa ndiyo sehemu watanzania walipokosea..
ilibidi wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vyingi vyama vyote vingeondolewa na kuanzishwa upya ili
kuleta usawa!!
haya makauli mabovu ya nimezaliwa nikaikuta CCM yasingekuwepo.
Udhaifu ulianzia hapo mgawanyo haukuwepo thats why CCM inajiona ni chama halali kuliko vyama vingine!!
BTW tunawahesabia tuu......
kwa chama kipi sasa kitakachoweza kuichukua hii nchi zaidi ya ccm?
Nalog off
Ndio matatizo ya kukosa ubunifu mwenzao kajijenga kisiasa kupitia misimamo yake hata kama anamapungufu yake na weakness zake. Lakini his strongest side is what made him what he is today.Kuna njia nyingi za kutoka na nzuri zaidi hebu wajiulize kina hao zitto walioko juu kwasasa walitoka kwakuwasingia wengine mambo ya uzushi?
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Naunga mono hoja.
Una laana yakula rambirambi wewe ni wakuombewa tu
Mleta mada hujawa objective. Ningekuona una maana sana kama ungejaribu kuleta bandiko ukifocus kwenye reality. Unaposema Lema amemkosea naibu katibu mkuu bila kusema naibu katibu mkuu amewakosea wanachama wengine akiwamo Lema unaondoa kabisa maana nzuri uliyokusudia kwenye andishi lako hili.
Binafsi tangu mwanzo sijawahi na sitawahi kuja kuunga mkono malumbano ya kipuuzi ya namna hii. Kinachoumia ni chama. Chama hiki kuna watu wamekifia, kuna watu wamekaa rumande/gerezani kwa chama hiki. Kuna watu wametoa fedha zao halali kwa ajili ya chama hiki. Kujivua nguo hadharani kwa style ile ni kudemoralize nguvu kubwa ya sisi tilio baki. Ni ku water down nguvu ya damu iliyomwagika kwa kukipigania chama.
Mshindi katika vita hii atakuwa mi CCM. Chama ambacho wengine hatutaki hata kukisikia japo kwa sekunde hata moja.
Kwa ufupi Zitto na Lema wana 'dhambi' zinazofanana.
Nimefarijika baada ya kuambiwa Uongozi wa juu umeingilia kati. Nadhani hata Yericko Nyerere atakuwa ametaarifiwa aache mpango wake alionao.
Chadema ni kama gari lisilo na dereva
Linakwenda kwenda tu...
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Mtahangaika sana kukichafua cdm ,hamtaweza kwani jf sio sanduku la kura,kama mnatumwa na ccm,hamjafanikiwa
Kampe Babaako masaa 24.
Jifunze kuwa na adabu ..eboh..
hahaha mkuu taratibu, nashangaa mtu anaishi huko Ngua halafu anacheza dumange la shauri linalopigwa mbaramo, loh! ngoja nkapate boha langu mie.Mkuu mbona unataka nipaliwe hii Kinana baridi ninayoshushia nyama choma yangu? Hapa lazima tamko la Mkuu wa Itikadi na uenezi litatolewa tuu. zumbemkuu, ulishaona wapi mdumange unapigwa Mlalo lakini wanaokatika wako Mazinde? Ndiyo tuliyoyaona humu. Wanachadema wanabishana kwa hoja zao juu ya misimamo yao lakini ukihesabu thread za ushauri na malalamiko kuwa jambo hilo sio jema au kutoa utetezi, 80% ni wale Buku 7 & co
We endelea kukesha na Chadema badala ya kupigania maslahi ya Waislamu....Unaitetea ccm ambayo inakuua......
Katiba ndo hiyooo tunaipata, Mahakama ya Kadhi hakuna, OIC tupa kuleee, sijui upuuzi gani wa uamsho tupa kuleeee......
Umebaki tu hapa na Chadema kila siku....
Halafu wewe ni nani mpaka utoe saa 24....Hujui makao makuu ya chama uende huko ukatoe hilo dukuduku lako...?