Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Chadema kimeudhihirishia umma wa Watanzania kuwa si chama cha kisiasa ni chama cha wahuni.

Hivi unategemea nini katika chama kinachoendeshwa na DJ ambae fani yake kuu ni kuendesha kilabu cha usiku (night club)?

Uhuni tu.
 
Lema anatumiwa kaka yake mambo ya Arusha yamemshinda ww na zito lema umeoza sana yatima na wajane umekula ww ufai kabisa wababaishe wasiokujua
 
Mleta mada unataka viongozi wa chadema waje kutoa tamko hapa jf au wapi?
 

Yamebaki masaa mangapi mpaka sasa???
 
Chadema kimeudhihirishia umma wa Watanzania kuwa si chama cha kisiasa ni chama cha wahuni.

Hivi unategemea nini katika chama kinachoendeshwa na DJ ambae fani yake kuu ni kuendesha kilabu cha usiku (night club)?

Uhuni tu.

Aisee............
 

Msijitoe kwenye shughuli za chama tu jitoeni kabisa kwenye chama, wehu nyinyi mlikua wapi siku Zito kupitia kundi lake la Masalia wakiwashambulia viongozi wa chadema kwa matusi? mnachelewa sana kutoka wenzenu walisha tangulia magambani mnaweza kuwafwata wakati wowote ila chadema haiyumbishwi na kelele za misukule ya Zitto, wala mbowe hawezi kutoa tamko kwa pressure toka kwenu misukule ya Zitto wapuuzi nyinyi.
 


nyinyi mnaoharibu chama kwa kujitafutia umaarufu wa kijinga jinga laana ya hawa wahanga haikwepeki kwenu
 
Vipi umetoa masaa mangapi kwa Kinana kuhusu swala la kingwangala na FILIKUNJOMBE? Kingwangala na MAKINDA? Hao wako makini sana. tulia kijana.
 
Subirin baada ya saa 24 utaona

Hahahahahaah!!!

Mi si muumini wa vyama vya kisiasa wala siasa, ila mikwala mingine najikuta tu nachangia post kama hii kwa huu u.pupu tu baaas. Nimemkumbuka binti yangu alinipiga mkwala "baba usiponinunulia baiskeli mpaka kesho, sitaenda tena shule" Sikumnunulia na shule alienda.

This is too low.......
 

huoni kuwa unajidanganya mwenyewe mkuu ?
 
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.

usifanye kazi kwa mazoea
 
we waache waendelee kuwalea hao wajinga wakina lema na wenZie.

Hivi hata wewe mwenyewe unajionaje mpaka uwaite akina lema ni wajinga?
Unaweza ukajiona una akili, kumbe hata wewe unazo dakika zako za uchizi uchizi
 
Wanachami wepi ulionao uyo mkeo,mwanao na mfanyakaz ndio wanachama...

Kumbuka hawa ndio wapiga kura. Tatizo lako umejawa na kejeli, n way najua ndio muda wa viroba huu
 

Hahahahaahah............ Mi leo acha nicheke tu. Baaaaaaaaas!!!

Kama CDM ina members wa aina hii, acha tu nibakie kuwa msabato Masalia. Naweza pata ndege ya bure niwahi Yerusalemu mpya.
 
sixgates,Mnyika alishatoa tamko humu kupitia mabadiliko na alisema mhe lema kavunja katiba na kanuni za chama.Na kwa sasa wapo kwenye vikao vya serikali. Lakini alisema pia kuwa kawapigia simu wahusika wote yani@Zitto na lema simu hazipokelewi(binafsi nahisi pengine walipokea baadae). Aliwakanya waache na ndio maana hatuoni malumbano tena humu.sasa msemaji wa chama kasema,si ndio kauli ya chama? Unawataka Mbowe na dr Slaa wa nini au ndio mje mseme wanamwingilia Mnyika?.au ulitaka Mnyika aite press comference wakati wao wamejibizana humu humu mitandaoni na yeye alitumia njia ile ile? Kamanda tuliza munkari tujenge chama. Sisi sote ni ndugu,adui yetu ni CCM. Tamko la chama lilishatoka,Lema ana makosa. Kwa hiyo tusubiri vikao vya bunge viishe wamshughulikie.vinginevyo chama hakiwezi kuwatoa wabunge Dodoma waende Dar kumwajibisha Lema.
 
Last edited by a moderator:

Zitto ni kimeooo!!! Ni mnafiki!!!! Kwa nini yeye siku zote huwa hafuati itikadi za chama? Yeye ni muangalia maslahi binafisi. Acha watu wajue ukweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…