MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Duh hapa atujawakabidhi nchi. Je tukiwakabidhi nchi si ndio watarushiana mabomu kabisa.
hujasema bado neno RASKAZONEyale yale ya LYATONGA na NYAUCHO!
Ndiyo maana zito haendi kwenye vikao vyao kumbe anajua kama hutoki kule kunakipigo.
Ugomvi wa Mbowe na Mwigamba ulitokea toka majuzi na ni kweli na hii habari ililetwa mapema humu JF, sasa tunakushangaa unailaumu nchi."Mbowe na Mwigamba wazichapa"?
Na habari yote sijaona simulizi ya huo mpambano kati ya Mbowe na Mwigamba!
Hii nchi tuna tatizo gani hasa??
Namuonea huruma Samsoni Mwigamba, atafukuzwa chama kwa nini asingekuwa kama kina Mwita Maranya.
Hivi uchaguzi uchaguzi wa Chadema lini au ndiyo auna kikomo.Za mwizi Arobaini,mlikuwa munanufaika naye siyo! na bado wako wengine muda si mrefu nao itakula kwao ni suala la Timing tu!
Angalia huu uzi umeanzishwa lini.source nini radio uhuru? mmmmmh!
2015 wabunge watakuwa wengi sana wa chadema, hata mimi ni chadema damu damu, ila URAISI TUMWACHIE EDWARD LOWASSA, HATA KAMA CCM WATAMTEMA ATAPEWA URAISI KWA KUPITIA MGOMBEA BINAFSI.
weka picha
Naulizia chanzo cha taarifa mkuu. Hata kama kuna madai hayo kupigana ni kinyume na katiba,taratibu na kanuni za chama. Upo utaratibu wa kuwasilisha malalamiko,hili halitakubalika na lazima nidhamu ichukue mkondo wake.
Hii Saccos ya Wachaga ina mwisho wake tu.
Hivi uchaguzi uchaguzi wa Chadema lini au ndiyo auna kikomo.
Magamba mnatiririka kaa mrenda humu komaeni buku saba si haba
Teh teh teh! Kwa hiyo Chadema hawawezi kufanya uchaguzi kwa kuigopa CCM si ulisema mnaanza na Mungu kulikoni tena.Taarifa za kijasusi zinaeleza kuwa Jamaa yenu /zenu wameshindwa kutunza siri ya namna gani mlikuwa mumepanga kuvuruga na kuingiza mamluki kwenye Uchaguzi wa CDM,hivyo mkajipange sawa kwanza na kwa bahati mbaya CDm wameanza kusafisha Nyumba kwanza Kabla ya Uchaguzi.
Nawashauri Lumumba wasitishe kutoa pesa maana zitaliwa Bure!
Si umeishaambiwa Mbowe anaendesha Chadema kama familia yake, ruzuku ndiyo hizo zinanunua majengo Dubai na South Africa.