MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

sio mwanachama kwa hoja ipi? Au nawe ndio wale washabiki mnashabikia na kutuhumu mwenzenu bila ya hata kufikiria? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Mnatuharibia chama.

siku zote huwa hakuna swali la kijinga,bali jibu la kijinga na si lingine tofauti na hili jibu lako.:rapture:
 
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.
Mkuu, hebu shughulika na mama yenu kwanza. Akipona uje hapa kupiga domo.
 
Jamani wachangiaji wote wanakuja kutukana tu, naomba hata mmoja angalau aje kupinga kwa hoja.

Hoja ni kwamba huyo MM kama mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kusimamia maSU amekiuka maadili ya uongozi kwenye suala la Leka Dutigite Co na hiyo kampuni ya Gombe, ana conflict of interest, Upo hapo! halafu unakumbuka aliwahi kusema mahesabu ya CDM hayajakaguliwa wakati anaelewa kasoro zilikuwa si za CDM bali Msajili wa vyama vya siasa, sasa msumeno ukienda mbele huwa unarudi na nyuma, ukirudi nyuma usiseme mtu anaonewa....
 
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.

uliposema ujinga nikajua tu wewe si mwanachama. Wewe ni sehemu ya gamba unayepokea buku saba za Nauye
 
mayange

usitake kujipa ujiko usiokuhusu,lugha yako tu inaonyesha kuwa wewe ni gamba halafu unajidai kuwa unauchungu sana na cdm. Tulia dawa ipenye na mwaka huu mnalo.

huyu kasema ukweli tatz tu mbwembwe chama hoi wanatokwa maji taka kwa mambo abayo hayapo tusubilie uchaguzi mdogo c tuliuona? sasa tungoje wa selikali za mtaa!!
 
Last edited by a moderator:
Xaxa huo ndo ukanjanja wenyewe na nchi yetu haiitaji wanachama bendera kama nyny xo hata kama mbowe au huyo slaa akiongea pumba nyiye mwasapoti tu xaxa nyiye watu au...

sasa we mvuta bangi..unajua nini kwenye siasa za nchi hii.. vilaza kama wewe inabidi mkae kimya..waache wenye akili zao wajadili
 
Xaxa huo ndo ukanjanja wenyewe na nchi yetu haiitaji wanachama bendera kama nyny xo hata kama mbowe au huyo slaa akiongea pumba nyiye mwasapoti tu xaxa nyiye watu au...

Mkuu sasa hapo umefupisha nini na hiyo xaxa .....hebu badilikeni mkuu
 
Ni kweli hakuna mwanachadema kama huyu jamaa wanachadema karibia wote kwanza hawana historia ya kuhoji jambo lolote lililofanywa na Mbowe au Slaa haijalishi jambo hilo ni jema au la hovyo

na kama wanachadema wote wanaakili za kipuuz kama ww na wakafie mbali,, Serikal ya CCM unaleta kihere here kuihoji ila huo upuuz wenu hautak kuuhoj,,,pole sana
 
Neno likisemwa na Mbowe na Dr. Slaa halitakiwi kupingw wala kujadiliwa kwa sababu wao ndio miungu wa CHADEMA
 
Sizani kama una uelewa wa masuala ya matangazo kwenye media, kwa ujumla,Kwa hili ZZK ametumia weakness ya serikali katika mambo ya kisheria hata suala likipelekwa mahakamani ZZK ataonekana msafi ingawa ni mchafu ni sawa na ishu ya kuiuzia Tanesco matairi wakati ule...Mtoa mada jaribu kuwa mwerevu kidogo achana na mahaba ya kisiasa..hayo mahaba yako peleka Yanga,Simba,Man u,Liverpool ama yapeleke kwa mkeo kama unae..hii nchi ina udhaifu mkubwa sana wa kisheria na wanasiasa wanatumia hayo mapungufu kujinufaisha wao, labda kama nawe una personal interest...
 
Hamuwezi mkaelewa nyie vidagaa hata siku moja, endeleen kutumiwa tu, bil 200 bado mnaona sifa kutetea rushwa?? Kweli nyie ni watu wa ajabu sana.

hiyo Bil 200 ww ilikua inakunufaisha nn? kipind haijapotea ww ilikusaidia nn na baada ya kupotea n nn unakosa?
 
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.

Kisu kimefika kwenye mfupa, kuna watu ambao naona huwa hawahitaji wakosolewe mwanzo mwisho, nasema hivi, mimi sio mshabiki wa yotote wala chama chochote ila nasema hivi ukweli usemwe na uwekwe wazi tuujadili kwa hoja na sio matusi. Ulichosema mkuu ni kweli tupu, ila tegemea kupata matusi ya kutosha na kejeli kibao. Haya yetu macho kuelekea 2015.
 
Sikuhizi Intarahamwe unajifanya unauchungu Na chadema au dawa ndio imeshaingia? wewe ni Buku Saba tu hata Uzi wako umeka kimagamba magamba Mva gwanda hayupo hivyo pole lakini karibu tutokomeze ufisadi
 
CHADEMA haiwezi kuwa na mwanachama kichaa kama wewe.

Tunaunga mkono kwa dhati yaliyosemwa bungeni kuhusu ufisadi wa Zitto.

Taifa Kwanza Mtu baadaye!
 
Kigomaa ale kigomaee
Lekadutigitee
Daaah! Kudadadadadekiiiiii
Mnatigita radioni wenzenu wanatigita mifukoni
 
na kama wanachadema wote wanaakili za kipuuz kama ww na wakafie mbali,, Serikal ya CCM unaleta kihere here kuihoji ila huo upuuz wenu hautak kuuhoj,,,pole sana

Mkuu Rudia kusoma vizuri halafu urudi tena
 
Back
Top Bottom