MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.

Halafu leo mama yake Zitto ametangulia mbele ya haki ngoja tuone unafiki wa ma-chadema Slaa na Mbowe
 
usifananishe CDM na hicho chama chenu cha wasaliti,Koma kulitumia jina la CDM kuwafurahisha mabwana zako waliokutuma.

Chaga Development manifesto kweli haziwezi kufanana na chama chetu
 
Huyo ni mwanachama mwenye uchungu chama hicho mnakiua watu wakisema ukweli hamtaki

sema ni mchumia tumbo,CDM hakuna wachumia tumbo kama yeye mleta mada,watu wa dizaini yake wanapatikana ccm,atc na tlp
 
Halafu leo mama yake Zitto ametangulia mbele ya haki ngoja tuone unafiki wa ma-chadema Slaa na Mbowe

hakuna msiba wowote duniani uliowahi kuwa mtaji , waache wanaoomboleza waomboleze kwa amani , ni makosa na upuuzi mkubwa sana kuingiza cdm kwenye jambo hilo .
 
Hujamuelewa mshkaji amemaanisha nn
Xaxa huo ndo ukanjanja wenyewe na nchi yetu haiitaji wanachama bendera kama nyny xo hata kama mbowe au huyo slaa akiongea pumba nyiye mwasapoti tu xaxa nyiye watu au...
 
Japo kuwa hata mimi ni mwana cdm toka 2005 ila jamaa kaongea ukweli wala ucmlaumu
usifananishe CDM na hicho chama chenu cha wasaliti,Koma kulitumia jina la CDM kuwafurahisha mabwana zako waliokutuma.
 
teh!teh!huyu mtoa post anajiita mwalimu kaijange,ni mwanachama mtiifu kabisa wa ACT mtoto wa ccm,tatizo ni kule kufikiri kuwa watu wanafikiri kama wewe mwalimu kaijage...usiwe -------- kwa kiwango hiko unajidhalilisha wewe na kizazi chako.......
 
Mi nachojiuliza ni kwamba inamaana Mbowe na Slaa tangu waanze siasa hawajawahi kukosea? mbona wamekua ni watu wa kutetewa tu hapa jf, ndo kusema CHADEMA na CCM wote ni wanafiki? Inakatisha tamaa, nshaona vyama vyote viko kimaslahi tu, hakuna jipya! Mnapo muona LEMA akihutubia jukwaani na kutokwa povu mdomoni; anasaka dola aweze kula vzr. Halikadharika NCHEMBA na NAPE NNAUYE wanatumia nguvu nyingi ili kulinda ulaji kwa wanahis tonge litapokonywa. Vijana tuwe makini tusiwe bendera, kunawatu wameahidiwa ukuu wa wilaya, mkoa, ukurugenz na vyeo vingine vingi baada ya kushika dola ndo maana hawakosoi viongoz wao hata pale wanapokosea, wako tayar kuua mtu na kutoa matusi kutetea chama ili wajihakikishie ulaji baadae. Wenye uchungu na nchi siku hiz hawapo; na viongoz wa vyama ving vya siasa hapa nchini wakikuona unadhamira ya dhati kutetea watanzania lazima tu wataku-fire out. Ukweli ndio huo enyi wananchi tokeni usingizini. Usitegemee hawa wanasiasa wa sasa watakuletea maendeleo, wapo kwaali ya kuwanyonya wajinga.

Jean jacque Roseauscue mswisi andika:" katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa,mtawaliwa hukabidhi baadhi ya madaraka kwa mtawala na kazi ya mtawala ni kumpatia ulinzi ,elimu,maji,matibabu nk,kama serikali ikishindwa kutoa huduma hiyo mkataba lazima uvunjike!"
John Lockie mwingereza alisema" the power of the government should be limited"
Akasema civilization should acompan with the Law,law that should citizen make themselves and be able to obey and protect"
Nataka ujue,hatuwezi ishi kwa staili hiyo,kila jamii tika enzi za suleman ,daud,silasi,Dario,Mosesnk viongozi walikuwepo kuongoza jamii,akiharibu aliondolewa aidha kwa kutekwa ,kufa ama kuachia ngazi,
Katiba ya ccm imeleta haya yote,hatutakubali kuendelea ni lazima tuungane kama walicyoungana waingereza mwaka 1152 kumwondelea mfalme john& wiliam madaraka ya kila kitu,na kulipa bunge mamlaka ya kutunga sheria,na kupitisha maamuzi,na wakasema kila mtu atakuwa chini ya sheria hata mfalme,soma ( the magna carta article)
Usiwadanganye watanzania bila siasa na uongizi bora tutaumia
 
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.

Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.

Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?

Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?

Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?

Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.

Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.

Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.

Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.

Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.

Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?

Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.

Ndugu yangu unajiumiza bre, kama kweli we ni mwananchama wa CDM chukua form ugombee Uwenyekiti wa chama au Ukatibu mkuu wa chama cha CDM!! Acha kulalamika tena kupitia kivuli cha mtu [Zitto] unataka kusema Zitto amekutuma umsemee? Je unaqualify kumsemea au wewe ni msemaji wake mkuu?

Mbowe na Slaa hawapambani na mtu mmoja mmoja, Zitto anapambana na kanuni za CDM ambazo alizikubali kichama.Sasa wewe unazusha pwrsonalities as if personality ni kubwa kuliko chama!!!

Sio Zitto tu, Mbowe na hata Slaa ipo siku wataachia CDM ila CDM bado itabakia na watu makini ---- usimkuze mtu kuliko chama ndugu yangu. We kwa mawazo yako unafikiri Zitto ni mwarobaini?? Basi unafikiri hivo anzisheni chama chenu na nyie msaidie nchi

Chama is just a political vehicle, haisaidii kujitahidi mtu arudishwe kwenye chama wakati haednani na kanuni -- kwani huwezi kusaidia nchi biula chama? je huwezi kusaidia nchi bila kuwa mwanachama wa chama fulani?

nafikiri umetumwa, tumia weledi kidogo. Punguza hatred
 
CHADEMA sio kambi ya wajinga nenda CCM au ACT. Zitto ni spin master muulize ile CD ya mabilioni ya uswizi iko wapi?
 
Hakuna Chadema anayeweza kuongea upuuzi huu, tumia akili ndugu acha kupelekeshwa, hata kama ni njaa, hii yako imezidi.
 
Ndugu yangu unajiumiza bre, kama kweli we ni mwananchama wa CDM chukua form ugombee Uwenyekiti wa chama au Ukatibu mkuu wa chama cha CDM!! Acha kulalamika tena kupitia kivuli cha mtu [Zitto] unataka kusema Zitto amekutuma umsemee? Je unaqualify kumsemea au wewe ni msemaji wake mkuu?

Mbowe na Slaa hawapambani na mtu mmoja mmoja, Zitto anapambana na kanuni za CDM ambazo alizikubali kichama.Sasa wewe unazusha pwrsonalities as if personality ni kubwa kuliko chama!!!

Sio Zitto tu, Mbowe na hata Slaa ipo siku wataachia CDM ila CDM bado itabakia na watu makini ---- usimkuze mtu kuliko chama ndugu yangu. We kwa mawazo yako unafikiri Zitto ni mwarobaini?? Basi unafikiri hivo anzisheni chama chenu na nyie msaidie nchi

Chama is just a political vehicle, haisaidii kujitahidi mtu arudishwe kwenye chama wakati haednani na kanuni -- kwani huwezi kusaidia nchi biula chama? je huwezi kusaidia nchi bila kuwa mwanachama wa chama fulani?

nafikiri umetumwa, tumia weledi kidogo. Punguza hatred
Sorry bado sijajua malengo ya CHADEMA kwa sasa ni yapi?Kama ni kuongoza nchi then you must be joking! CHADEMA can't think of taking over the power with the kind of leaders they have.One could take CHADEMA seriously only if Mbowe and Slaa are removed from their respective positions, Only if CHADEMA takes that path then the Party will survive the political storm coming its way!
 
Back
Top Bottom