MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

Inasikitisha kuona watu kama wewe kumtetea Mbowe wakati akiua chama chenu

Ina kuhusu nini, CDM ikifa si ndo furaha yako? Usijifanye unaipenda sana CDM kiasi cha kuona uchungu. Jifunge kanga kiunoni ucheze mchiriku!
 
Jana walikuwa wengi wakichangia uongo wao walioaminishwa na sugu wao mbunge goigoi kuliko hote hotuba yote imejaa jina la zzk kana kwamba zt ndio aliekwamisha bajeti yote ya wizara ya michezo

Sugu muziki hawezi tena kakimbilia kwenye siasa
Siasa nayo ikibuma atakimbilia wapi?
 
Ina kuhusu nini, CDM ikifa si ndo furaha yako? Usijifanye unaipenda sana CDM kiasi cha kuona uchungu. Jifunge kanga kiunoni ucheze mchiriku!

Wapi matola jana alijaza ukurasa humu jf leo kakimbia na uongo na sugu wao
Imebaki matusi tu
 
Lizaboni
Lakini wakati huo ujue huna hata robo ya hadhi yake kwanza kitaifa na pili kimataifa , nyie mtaendelea tu kuwa watumwa wa wala rushwa kwakweli!na siku mtakapo jitambua nahisi nisiku mtakapo jua madhara ya hiki mnacho fanya.
 
Last edited by a moderator:
Ili upendwe Chadema msifie Mbowe na Slaa, Ili utukanwa Chadema wahoji Mbowe na Slaa.
 
Mnajiita makamanda. Kamanda gani anayekimbia vita? Au mnatumia tuu maneno bila kuyatendea haki

Hamuwezi mkaelewa nyie vidagaa hata siku moja, endeleen kutumiwa tu, bil 200 bado mnaona sifa kutetea rushwa?? Kweli nyie ni watu wa ajabu sana.
 
Ili upendwe Chadema msifie Mbowe na Slaa, Ili utukanwa Chadema wahoji Mbowe na Slaa.

Jadili ufisadi wa bil 200 ndio hasa wenye impact kubwa kwa taifa na si kujadili watu haileti tija yeyote katika taifa.
 
Kama yy kaamua kupambana na chama kwann yy tumchekee kwa ushenx wake?

Sera yetu moja awe babko kakaako akiiba tutasema.
 
Jamani wachangiaji wote wanakuja kutukana tu, naomba hata mmoja angalau aje kupinga kwa hoja.

Hoja gani ipo hapo inayo takiwa kujadiliwa zaidi ya umbea? Tena usio hata na maaana kwa mstakabali wa taifa?nafikiri ungetaka hoja ijadiliwe kwa hoja ungeandika madhara ya kutetea ufisadi wa bil200 hasa kwa taifa linalo lalamika kila siku halina fedha.
 
Ukweli chadema mwaka huu wameadhirika sana, sijui kama hotuba zao za mawaziri kivuli kama walimshirikisha prof Lipumba! Hasa hotuba ya Wenje, wao wenyewe wameona aibu hata kuiweka ktk website ya chama, wakati walikaa pamoja kuanda kama Mbowe alivyosema, hii ya wizara ya nishati na madini ndiyo Mbowe amekimbia na vijana wake kukwepa aibu, bye bye chadema.
 
Jadili ufisadi wa bil 200 ndio hasa wenye impact kubwa kwa taifa na si kujadili watu haileti tija yeyote katika taifa.

Hizo 200b ni za nani? ame deposit nani bank kuu? Na ni nani aliezichukua??!.
 
Ukweli chadema mwaka huu wameadhirika sana, sijui kama hotuba zao za mawaziri kivuli kama walimshirikisha prof Lipumba! Hasa hotuba ya Wenje, wao wenyewe wameona aibu hata kuiweka ktk website ya chama, wakati walikaa pamoja kuanda kama Mbowe alivyosema, hii ya wizara ya nishati na madini ndiyo Mbowe amekimbia na vijana wake kukwepa aibu, bye bye chadema.
Ishi hapa sio kuishambulia chadema inshu ni kwamba unaziongeleaje kashfa za ufisadi zinazo tolewa na chadema na nccr?? Mf bil200, usafirishaji wa transformer, na zinginezo?? Jadili kama mtanzania na si mwana ccm, halafu utuambie pia kwa hali hii taifa linaenda wapi? Na nini madhara yake? Na wewe unafaidika na nini hasa unapo tumia nguvu kubwa kutetea mambo kama haya wakati unajua fika hali ya uchumi na maendeleo ya watanzania yalivyo? Je? Una jijali wewe, chama,au watanzania walio nyuma yako?tafakari? Lakini naamini pia kama chadema wanatoa hoja za uongo kuhusu ubadhirifu wa fedha unao fanywa basi na hakika wangesha polekwa mahakaman tangu wameanza kuzitoa tuhuma mbali mbali,,, mh! Sielewiiiii!
 
Hizo 200b ni za nani? ame deposit nani bank kuu? Na ni nani aliezichukua??!.

Kwa mtu kama wewe unae pitia mitandao na unaye jiita msomi ni fedheha kubwa sana kuuliza swali hili! Kwa kweli naomba uendelee majadiliano na wengine kiongozi mimi siwezi sababu nimesha pima kiwango chako cha fikra ni kidogo sana na huna hadhi ya kujibiwa.good night mr.
 
CDM inakuhusu nini wewe gamba sugu?

mbowe ni -------- anaogopa changamoto kutoka kwa wenzake,,wenje,slaa,tundu lisu ndo wale wale ht mbowe akiongea pointless mnasapoti tu,,mwanasiana mzuri ni yule anayejenga hoja ila sio kukurupuka
cdm wamekuwa wakurupukaji ndo maana wananchi wamekiona ni sawasaw na jojo iliyoisha ladha kila ck wanaibua mapya lkn hawayafnyii kz je mm km mtanzania ambaye nahitaji nipewe msaada na viongz wa kiupinzani ktk kuibua fisad nk nitawaamini vip cdm wkt wameshndw kusov ht migogoro midogo ndani ya chama
mbowe mnamweka km mfalme asiyekosolewa ht uk walitumia bill of right na magna carta kuchallenge uongozi wa kifalme.
Tumekuwa watu wa kuwaabudu tu viongozi wa cdm ht wakiongea utumbo..ukweli ni kwmb wengi wanaoisapoti cdm ni mateja wasio na hoja ndo maana ktk maandamano ya cdm huwa hakuna mafanikio kwsbb wengi wanaenda kwenye maandamano wamelewa mfano mzr ni maandmn yaliyofnyika mwnz wenje akiwa ni kiongoz mwz wa 8/2013 wanywa viroba wa cdm walimsaliti mbele ya maaskari mpaka akajiona boya
tuwe tuna chambua hoja za wapinzani sio kushabikia tu ht upumbavu
 
kiukweli siasa inahitaji ukomavu wa fikra,uwezo wa kupambanua mambo uliyonayo na unayoyapta/kuyapokea toka upande wa pili,kuepuka kuwa bendera fata pepo na pia kutathimini juu ya mambo hasa yanayohusu Taifa japokuwa uwezo wa vijana kufikiri umekuwa wa kusukumwa! inashangaza kiasi!
 
Cdma wamejifia wamesinzia mchana kweupe kisa uvivu wa kufikiri.
 
Jana walikuwa wengi wakichangia uongo wao walioaminishwa na sugu wao mbunge goigoi kuliko hote hotuba yote imejaa jina la zzk kana kwamba zt ndio aliekwamisha bajeti yote ya wizara ya michezo

Sugu muziki hawezi tena kakimbilia kwenye siasa
Siasa nayo ikibuma atakimbilia wapi?

wewe kwa Sugu ni kama kichuguu tuu mbele ya mlima kilimanjaro,wivu wa kike unakusumbua
 
umevurugwa si bure,imarisheni chama chenu cha wasaliti achaneni na CDM!

Jamani mbona kila anaekosoa anaonekana si mwanachadema?tutafika kweli kwa mtindo huu?wakati mwingine nakuwa na wasiwasi na huu utetezi.
 
Back
Top Bottom