nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,248
Mkuu sasa hapo umefupisha nini na hiyo xaxa .....hebu badilikeni mkuu
mkuu achana na watoto wadogo na uandishi wao wa kifacebook!
Mkuu sasa hapo umefupisha nini na hiyo xaxa .....hebu badilikeni mkuu
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh. Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni? Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.
Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa kama hii yenye watu makini kiasi hiki kupambana na mtu mmoja tena mwisho wake tunaishia kupata aibu.
Kwani faida yetu sisi wananchi na wanachama mkimmaliza Zitto Kabwe kisiasa ni ipi?
Hapo awali mmetengeneza migogoro wenyewe kwa kumjengea tuhuma zisizo na ushahidi kama taarifa kutoka makao makuu ya chama kuhusu nyendo za ZZK toka mwaka 2008 kwa kupokea pesa toka CCM, mbona hamjatuletea ushahidi wa uhakika nasi tukajihakikishia?
Matokeo yake kila mmoja ameona utofauti wa CHADEMA ya mwaka 2013 na CHADEMA ya mwaka 2014.
Kwenye hili swala la leka dutigite, NSSFna TANAPA mmefanya uchunguzi wa kutosha na mkapata uhakika na mlichopeleka bungeni?
Tunataka ushahidi hapa ili na wananchi tujihakikishie sio mnatuletea propaganda za kijinga hapa na kuanza kuaminisha watu.
Nimesoma ufafanuzi wa Zitto mwenyewe, NSSF na TANAPA nimesikitika sana kuona kuwa maelezo haya kama ni ya kweli basi CHADEMA ndio itazidi kupoteza mvuto.
Nashindwa kuwaelewa na hawa washabiki wanaoshinda humu JF wakishabikia ujinga bila hata kufikiri ilimradi Mbowe kasema.
Watu wanabaki kuchangia changia ujinga wao humu Jf hata katika ujenzi wa chama hawaonekani wakidhani ndio ukomavu wa chama kumbe ndio wanazidi kukibomoa chama.
Mnajifanya wanachama wa CHADEMMA kwa kutetea hata ujinga wa baadhi ya viongozi ndio mnazidi kukimaliza chama, mfano huyu huyu ZZK alipoongelea kidogo habari za Mbowe wengi wenu mlianza kulalamika kwanini aongelee habari za Mbowe.
Sasa ZZK sio binadamu kama alivyo Mbowe au kiongozi mwingine anayeweza kuumia anapozushiwa na kuchonganishwa kwa wananchi?
Mashabiki nawashauri acheni kupumbazwa.

Ni sawa ndio maana wana vimada na huku wanajidai kutetea uadilifu!Ni kweli hakuna mwanachadema kama huyu jamaa wanachadema karibia wote kwanza hawana historia ya kuhoji jambo lolote lililofanywa na Mbowe au Slaa haijalishi jambo hilo ni jema au la hovyo
Mkiambiwa mnajaza safu za ma F4F ndani ya CHADEMA mnakuja juu!Hakuna mwana-Chadema wa jinsi yako, unajidanganya mwenyewe, hapa huna wa kumdanganya. Kapotelee mbele!!!!
Hakuna mwana-Chadema wa jinsi yako, unajidanganya mwenyewe, hapa huna wa kumdanganya. Kapotelee mbele!!!!
usifananishe CDM na hicho chama chenu cha wasaliti,Koma kulitumia jina la CDM kuwafurahisha mabwana zako waliokutuma.
Inasikitisha kuona watu kama wewe kumtetea Mbowe wakati akiua chama chenu
Ndio majibu mnayofundishwa na Mbowe hayo.
Ishi hapa sio kuishambulia chadema inshu ni kwamba unaziongeleaje kashfa za ufisadi zinazo tolewa na chadema na nccr?? Mf bil200, usafirishaji wa transformer, na zinginezo?? Jadili kama mtanzania na si mwana ccm, halafu utuambie pia kwa hali hii taifa linaenda wapi? Na nini madhara yake? Na wewe unafaidika na nini hasa unapo tumia nguvu kubwa kutetea mambo kama haya wakati unajua fika hali ya uchumi na maendeleo ya watanzania yalivyo? Je? Una jijali wewe, chama,au watanzania walio nyuma yako?tafakari? Lakini naamini pia kama chadema wanatoa hoja za uongo kuhusu ubadhirifu wa fedha unao fanywa basi na hakika wangesha polekwa mahakaman tangu wameanza kuzitoa tuhuma mbali mbali,,, mh! Sielewiiiii!
Achaneni na CHAMA KUBWA semeni escrow account mabilioni yameenda wapi tena yakibebwa ndani ya viroba(rejea maneno ya Ole Sendeka aka best student 1987.
Mkiambiwa mnajaza safu za ma F4F ndani ya CHADEMA mnakuja juu!