Kumbe hata Kalemani anamgatua huyu dangaDada tuliza genye,kwani mbowe ndio mtawala....shida ni huyo mumeo kalemani yupo kama taahira flani,anabebwa tu wakti hata uwezo wa kua mtendaji wa kata hawezi
Wakati walipokuwa wanasema na kukemea mlikuwa mnatuambia kuwa wanatumiwa na mabeberu, labda mabeberu wameacha kuwatumiaKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Leo ndo umefahamu umuhimu wao? Kweli MATAGA akili zenu zimeenda na MwendazakeKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Aisee wewe ni qumaa nyo.ko kweli yaaniKweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Nyinyi ndo mnaompoteza Mama kwa akili zenu za kipumbavu. Taasisi imara unazijengaje bila ya kuwa na kiongozi mwenye utashi ambae anaonyesha hayupo tayari kuchezewa na watu wasio waadilifu. Hebu tuambie namna unavyoweza kujenga taasisi imara unatumia nini? wewe keyboard warrior??Taifa haliwezi kuendeshwa kwa fukuza fukuza ila linaweza kuendeshwa kwa uwepo wa Taasisi zilizo imara zenye kuwajibika
Kukemea kemea ni Siasa za kijinga na za kizamani
Hawezi kujupa jibu huyo mpuuziNyinyi ndo mnaompoteza Mama kwa akili zenu za kipumbavu. Taasisi imara unazijengaje bila ya kuwa na kiongozi mwenye utashi ambae anaonyesha hayupo tayari kuchezewa na watu wasio waadilifu. Hebu tuambie namna unavyoweza kujenga taasisi imara unatumia nini? wewe keyboard warrior??
Kwahivo hiyo nayo ni Id yako nyingine ya kutukania Wapinzani?Hawezi kujupa jibu huyo mpuuzi
Mlituambia kuwa Wapinzani wanachelewesha maendeleo mkafanya figisu kwenye uchaguzi mkapita wenyewe. Leo mmeanza kuparurana (Mkurugenzi wa ubungo na madiwani wake)Tutashitakiwa MIGA
Hapo ndo mtamkumbuka Magufuli.................... ushenzi huu usingweza tokea ata kwa nukta moja.
Mlivyowang'oa Bungeni mlikuwa mnategemea nini???Cha ajabu na mikutano ya kisiasa mkaizuia mlikuwa mnategemea miujiza ya Mungu??CCM vichwa vyenu havifanyi kazi kila wakati mnawaza tu maslahi na upigaji.Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Wee fala kabisa. Kwa nini usikemee wewe? Hadi wakimbizi wakemee.Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Aliambiwa fukuza hawa masalia wanao waliopo unda upya Selikari akakataa.Team Legacy ya mwenda zake..
Ila mtoa Post unaugua Posttraumatic stress disorder au Obsessive compulsive disorder...
Kuna kitu CHADEMA walikufanyia.. kina kuuma mpaka leo..
Wala sikubish kumbe kuua watu ni haki ila tu inategemea uyo alie uliwa yupo Upande Gan?
🤣🤣🤣Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?
Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.
Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Unaona jinsi wananchi wanavyomlilia mkombozi wao Mbowe?Hahahaaaa...... Mbona wewe unaogopa kukemea bwashee?!