Mbowe, Lema, Lissu kwanini hamkemei yanayoendelea nchini?

yaaani Mr adi amani upo umeme uzime ata mwaka yani mama tunampa miaka yote awe Rais adi ashindwe kutembea!
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Wakati walipokuwa wanasema na kukemea mlikuwa mnatuambia kuwa wanatumiwa na mabeberu, labda mabeberu wameacha kuwatumia
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Leo ndo umefahamu umuhimu wao? Kweli MATAGA akili zenu zimeenda na Mwendazake
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme.!!
Aisee wewe ni qumaa nyo.ko kweli yaani
 
Taifa haliwezi kuendeshwa kwa fukuza fukuza ila linaweza kuendeshwa kwa uwepo wa Taasisi zilizo imara zenye kuwajibika

Kukemea kemea ni Siasa za kijinga na za kizamani
Nyinyi ndo mnaompoteza Mama kwa akili zenu za kipumbavu. Taasisi imara unazijengaje bila ya kuwa na kiongozi mwenye utashi ambae anaonyesha hayupo tayari kuchezewa na watu wasio waadilifu. Hebu tuambie namna unavyoweza kujenga taasisi imara unatumia nini? wewe keyboard warrior??
 
Hawezi kujupa jibu huyo mpuuzi
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Mlivyowang'oa Bungeni mlikuwa mnategemea nini???Cha ajabu na mikutano ya kisiasa mkaizuia mlikuwa mnategemea miujiza ya Mungu??CCM vichwa vyenu havifanyi kazi kila wakati mnawaza tu maslahi na upigaji.
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
Wee fala kabisa. Kwa nini usikemee wewe? Hadi wakimbizi wakemee.
 
Team Legacy ya mwenda zake..

Ila mtoa Post unaugua Posttraumatic stress disorder au Obsessive compulsive disorder...

Kuna kitu CHADEMA walikufanyia.. kina kuuma mpaka leo..
Aliambiwa fukuza hawa masalia wanao waliopo unda upya Selikari akakataa.

Hawa watu watafanya kila kitu ili ashindwe fukuza wote. Unda upya Selikari

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wala sikubish kumbe kuua watu ni haki ila tu inategemea uyo alie uliwa yupo Upande Gan?

Utakuwa umeshindwa kabisa kunielewa.

Nisome unione vizuri.

Kuifanya mamlaka kuwajibika kwetu lilikuwa jukumu letu sote. Wanaotakiwa kukumbushwa hilo sasa kwa vitendo ni hawa wenzetu ambao ghafla wanataka kuleta tabia mbaya sana ya kumsema sema na kumnyanyapaa mama wakati walishangilia kwa bashasha kina Ben, Azory, Mawazo, Lissu na wengi wengine wakiwamo kina Mdude yakiwakuta ya kuwakuta.

Sasa ni zamu yao. Wamwache mama ainyooshe nchi na wao. Ilikuwa imepinda na walikuwa wamepinda sana.

Uzoefu umeonyesha hawa vyawa wa mwendazake kuelewa kwao kuko mbali sana. Wako kama wa vyenge kusikia mpaka damu itoke masikioni. Hapa ndipo nafasi ya wokovu ilipo sasa!

Ngoja Sirro awanyooshe ili wayajuwe machungu yaliyokuwa yakitusibu wengine kwa takribani miaka sita, tukijaribu kupata haki na uhuru wetu bila mafanikio. Muda wote huo wao walikuwa wakitukejeli na madharau kedekede.

Nakazia: kamanda Sirro unawaona hawa wanaomtukana mama lakini? Hatua zako tafadhali na usiangalie makunyanzi ya mtu. Tunajua kuwa hiyo ndiyo fani yako uliyofuzu kuliko zote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kweli tumefikia hatua ya kupanga foleni kununua umeme?

Yaani kwa wakati mmoja mfumo wa TRA unasumbua, mfumo wa bandari unasumbua, mfumo wa LUKU unasumbua na TFF nao wamekula hela za wananchi.

Hapa hutaona Lissu, Lema wala Mbowe wakilaani shughuli za wananchi kusimama na kupanga foleni ya kununua umeme!
🤣🤣🤣

Walipigika sana kukosa bahasha za khaki.. sasa wanajipanga kuzipokea..
Wasanii wenu wa Chadems hao..
 
Back
Top Bottom