Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,113
- 12,140
Mkalipe kodi hakuna namna nyingine.anatafuta kiki tuu nae wanaodaiwa na NHC ni mbowe peke ake wa kutajwa au nae anataka ubunge wa kuteuliwa baadae...
Mkalipe kodi hakuna namna nyingine.anatafuta kiki tuu nae wanaodaiwa na NHC ni mbowe peke ake wa kutajwa au nae anataka ubunge wa kuteuliwa baadae...
good startMkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.
Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.
Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.
“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”
Chanzo: Mwananchi
Me nimekulelewa**Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.
Chanzo mwananchi
Hajalipa kodi ya pango.Bila shaka kuna sababu za msingi za kunyang'anywa hiyo sijui ni club au kasino! kwanza niulize ananyang'anywa na nani?
Binafsi nilidhan vivyo hivyo mkuuNikijua Bills jengo lilikuwa la baba mzazi wa Mbowe
it is just a coincidenthakuna namna,ila si kipindi kilichobaki cha week1 ukuta ndio mumkumbushe..
Ahsante RRONDO nilidhani labda ni mambo ya kisiasa kumbe ni hayo ya kutokulipa kodi, ajitahidi alipe kodi kwa kuwa wanasisitiza tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu.Hajalipa kodi ya pango.
mimi simsikitikii mtu kama mbowe kunyang'anywa pango nachoweza kusikitika na kuendelea kujadili ni ishu kama Elimu duni, matibabu ovyo maeneo mengi ya Tanzania..Mkalipe kodi hakuna namna nyingine.
Hapo sasa hata mjinga tu atajiulizaKama zipo taasisi zingine kwanini amzungumzie mbowe kama mhusika mkuu?