kiliochangu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 1,152
- 886
kama anadaiwa kodi na hajalipa akalipe hakuna jinsi
hakuna namna,ila si kipindi kilichobaki cha week1 ukuta ndio mumkumbushe..kama anadaiwa kodi na hajalipa akalipe hakuna jinsi
Hahahahaha,kumbe mkuu umestukia eee?Kumbe ndo maana watu wanachukia sana Rais anaposema watu walipe kodi.
Alipe kodi aache ujnja ujanjaduh kisa na mkasa ni swala la siasa za UKUTA
eee bana ee!! ukuta utaleta mengi. mi ntakua bize siku hiyo naangalia jua linavyopatwa!!! hayo ya ukuta mkajenge wenyewe. ndiyo, kama hamkuziba nyufa mlitaka mfanyeje??Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.
Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.
Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.
“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”
Chanzo: Mwananchi
Kodi zote hizo Mbowe hazilipi?Baada ya Tangazo hili la NHC, litafuatia la TRA kudai kodi, Then NSSF kudai Michango ya Wafanyakazi, Then Osha, then Jiji kufuta kibali cha Night Club, then Msajili wa Magazeti kulifuta gazeti, then, then, then...mwisho wa siku mtasikia tangazo la kusitisha maandamano na mikutano nchi nzima! ,baada ya hakuna lolote atakalofanywa, life just as usual!.
Pasco
Hapana, kama umekaa kwenye nyumba za NHC utakuwa unajua kwamba ukicheza na kodi kidogo tu wanakupiga chini. Wako very strict.duh kisa na mkasa ni swala la siasa za UKUTA
msechu.Kachefukwa na nini Mchechu...!
KWELI MAGUFULI SIYO MWANASIASA,UNAFIKI WA KISIASA KAMA WA WANASIASA WENGINE UMEMSHINDA.NAKUKUBALI SANA MHESHIMIWA.Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu amesema mmiliki wa jengo la Club ya Bilicanas, Freeman Mbowe ni miongoni mwa wadaiwa sugu wa shirika hilo waliopewa notisi inayoishia mwezi huu.
Akizungumza ofisini kwake Dar es Salaam, Mchechu amesema Mbowe anadaiwa malimbikizo ya kodi.
Hata hivyo amesema suala hilo halina uhusiano na siasa za Ukuta kwani mbali na Mbowe zipo taasisi na watu binafsi wanaodaiwa.
“ Zipo pia taasisi za serikali zikiwemo wizara na idara ambazo mwezi zitatimuliwa kwenye majengo wanayotumia.”
Chanzo: Mwananchi
Umeona hahahaKumbe ndo maana watu wanachukia sana Rais anaposema watu walipe kodi.
Umeona hahahaKumbe ndo maana watu wanachukia sana Rais anaposema watu walipe kodi.
Teh! Teh! Teh! Teh!Kumbe ndo maana watu wanachukia sana Rais anaposema watu walipe kodi.