Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

Amekuzidi mbali mno.

Miafrika inachukia sana watu wenye mafanikio na wanaowazidi uwezo.
Rudia kusoma nilichoandika.Nina hakika hujaelewa.Kuna mahali nimeandika namchukia Tundu Lissu.
Mimi binafsi namfahamu akiwa Mwalimu wa Bondeni Secondary School.Narudia
Amekuzidi mbali mno.

Miafrika inachukia sana watu wenye mafanikio na wanaowazidi uwezo.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
 
Kwani aliye madarakani anapangiwa na mwendazake? Hana nafasi ya kuyarekebisha ?
 
Huu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
Unataka awadanganye kama mlivyozoezwa na wale waganga njaa wezi wa kura ili mumuone wa maana, Samia na serikali yake wanajua 100% kesi ni ya kubambika
 
Huu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
Ni bora kuwa lousy politician kuliko wanasiasa wauaji na wezi.
 
Huu jamaa Lissu angendelea na kazi ya uanasheria.Ni mwanasiasa mbovu sana asiyepima maneno yanayotoka kwenye mdomo wake.
He is a very good lawyer but a lousy politician.
Lakini hajawahi kupoteza kesi
 
Soma nilichoandika.He is a very good lawyer but a lousy politician.
I think being a lousy politician is a positive... I mean to be a good politician especially African ones you have to lie, deceive, steal etc?
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Huyu jamaa haeleweki, kule space baada ya ombi la Zitto kwa Rais, alituambia Tusijidanganye Rais hana uwezo wa kufuta hii kesi tusubiri iishe. Kakutana na Mama Ubelgiji amebadilika, namsijia akiomba Raisi afute kesi🙊🙊
 
Mie nilishasema Lisu kachanganyikiwa lakini machadema hayataki kunisikiliza. Shauri yao.
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Lissu ameathirika kisaikolijia. Kama Mbowe angeachiwa jana wangesema Mahakama imeelekezwa na Rais Samia kumuachia Mbowe baada ya yeye Lissu kuongea na Mama juzi huko Brussels.

Wangesema kuwa Mahakama haina maamuzi. Sikutegemea kwanza kuwa Lissu anayejinasibu kuwa ni mwanasheria mbobezi aingie mtego wa kumuomba Rais afute kesi na vile vile kukosoa uamuzi wa Mahakama
 
Back
Top Bottom