Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

Siwezi kumuamini nabii wa uongo, ulichoandika ni historia sio uhalisia, historia hupita na bendi nyingi zilianzishwa na vijana wa mtaa au eneo moja kutokana na kushauriana kwao kwa kila siku.
 
Mkuu hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa manung'uniko!

Sura aliyoizungumzia mtoa hoja hata wewe unakiri iko sawa na ni ukweli, ila umeamua kusema ni ya kuungaunga!

Ingependeza kama ungeweka hapa hiyo focus yako kuhusu hiyo historia makini na halisi Mkuu.
 
Asante
 
Ikawaje yatumike mabilioni kuwanunua wapinzani hao? Ikawaje kuharibu uchaguzi na kuitia nchia madoa ili kuzuia upinzani walioutengeneza usichukkue nchi?
Ikawaje zitumike nguvu kubwa za majeshi yetu kuudhibiti upinzani walioutengeneza wenyewe? Kumbe CCM na system yetu ni empty buckets kiasi hicho?
 
Hivi Upinzani tunapinga / wanapinga nini ? Je wanapinga Ideology..., waliopo madarakani at the Time au chochote na vyote ambavyo Chama kingine inakifanya ?

Hivi tofauti kubwa kati ya CHADEMA na CCM ni Ipi ? (Ideologically) au zote ni Platform za kupata fursa ya kuongoza nchi ?

Nasema hayo sababu huenda Siasa za Bongo / Hata Kenya na nchi nyingi duniani kwa sasa ni Personality ya Mtu na watu Wanapigia Kura mtu / watu fulani na sio necessarily jinsi ya kuendesha nchi...., hivyo hata Samia angeweza kwenda CHADEMA kama angeona kuna uwezekano wa kuchukua nchi au vice versa (Practically Ideologically they are all the same)
 
Kwamba na wewe umefikiri ukaona uandike ulichokifikiria
 
Well said
 
Huwa nawaoneaga huruma sana nyumba walimwamini huyu Mzee Mbowe πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mwanangu ndiyo umepoteza muda kuleta hii takataka,wenzako wameshaandika sana hata kuzidi hii na kila mwenye akili aliishia kuidharau. Hii ni propaganda ya level ya chekechea kabisa. It won't work. Ni low thinkers tu kama wewe wamekusapoti.
 
Mwanangu ndiyo umepoteza muda kuleta hii takataka,wenzako wameshaandika sana hata kuzidi hii na kila mwenye akili aliishia kuidharau. Hii ni propaganda ya level ya chekechea kabisa. It won't work. Ni low thinkers tu kama wewe wamekusapoti.
Sasa great thinker unakubali kuongozwa na mtu mmoja for 20 years. Are you a great thinker au ni low thinker unayezubaishwa kwa kuitwa great thinker
 
Huwa nawaoneaga huruma sana nyumba walimwamini huyu Mzee Mbowe πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Mbowe ni tatizo kubwa linapokuja suala la mabadiliko. He is a problem na bahati mbaya bado kuna idle youths wanaomuamini
 
Mbowe anatengenezea sana sympathy na Ccm ili aendelee kuaminiwa kama kinara wa upinzani ila kiuhalisia hizo ni niia tuu za ku block upinzani wa kweli kuaminiwa. Wanaoelewa siasa watanielewa
Hivi hamnaga CD nyingine? Hebu tafuteni nyingine sasa, hii imekaa Sana! Kila MTU LAZIMA amtaje Mbowe ili aonekane anajua SIASA za CCM na Tanzania
 
Sasa great thinker unakubali kuongozwa na mtu mmoja for 20 years. Are you a great thinker au ni low thinker unayezubaishwa kwa kuitwa great thinker
Sema maliza yote ila ninachokuambia hii theory uliyoweka hapa siyo mpya,imeshajaribiwa na wengi na haikufanya kazi. Chadema itaendelea kuwa mwiba kwa CCM, ndiyo maana inatumika nguvu kubwa ya vyombo vya dola kutaka kuingamiza Chadema,refer kilichofanyika kwenye chaguzi za 2019/2020, ilifikia hata dola kuharibu image ya nchi kimataifa ili mradi tu Chadema ife. Si mnaona kazi ya ziada anayofanya Rais Samia kuosha shombo aliyoacha dhalim katika process ya kujaribu kuifuta Chadema. Anyway umejaribu lakini ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Walioteswa no wale wazalendo.haswaaa wapinzani was kweli!!

Mbowe,zito wala mnyika hawakuteswa why!?coz no sehem ya system!!Ile kesi ya ugaidi ilikua propaganda kuzima kipindi Cha mpito Cha kuondoika mwendazake na kushika samiah madaraka!

Lakini Mali za mbowe na propaganda nyingine ilikua TU kuonysha umma na yeye ni mpinzani!!

Wapinzani was kweli hawasavaivu sana!!

Kina mdude,lisu kipindi kile,heche n.k ndio hao wanaoifanya Dola itumike kuilinda CCM madarakani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…