Mbunge wa Zanzibar kudai Mbowe na Kikundi chake( siyo Chadema) wanataka kuvunja muungano siyo Jambo zuri ikizingatiwa Nafasi ya Mbowe kwenye Jamii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,451
147,173
Ni Kauli nzito sana

Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie

Muungano ni Tunu ya Taifa

Mlale unono!
 
Ni Kauli nzito sana

Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie

Muungano ni Tunu ya Taifa

Mlale unono!
that is political statement, na sio issue kabisa politically speaking :BASED:
 
Ukifikiria sana kuhusu muungano unaweza ukasema maneno magumu.
Anyway acha tuishi
 
Hayo ni maoni yake binafsi ndiyo demokrasia tuliyoichagua. Ninaamini R4 zitagusa kwenye changamoto za Muungano zimekuwa za muda mrefu kuanzia Jumbe,G55,Kisanga,Warioba na Tume yake,Mtikila na sasa Mbowe na timu yake
 
Kwa hiyo yeye anafurahia Znz inavyotunyonya haoni tatizo? Nini faida ya Muungano kwa Tanganyika? Kwani ukivunjika huo muungano ni dhambi? Mbona Malaysia na Singapore wameachana na kila mmoja ana maendeleo? Muungano unalazimishwa kwa faida gani kwetu?
 
Yeye kutaka Watanganyika waende Zanzibar kwa passport havunji muungano? 🐼
havunji chochote,
katoa maoni na mtazamo wake kisiasa ambao hauna athari yoyote kwenye status ya muungano iliyopo.....

muhimu ni kustahimiliana katika kuskiza mawazo na maoni ya waTanzania kuhusu muungano. kuhitimisha maoni ya mwingine kwa hukumu si sawa hata kidogo :whatBlink:
 
Mbowe kama karopoka aambiwe tu bila kujali kuwa ni mmiliki mkuu wa nyumbu wote nchini.
 
Back
Top Bottom