Kwani msaliti anastsahili heshima?Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Kwako wewe ilimradi ni professor, hata akija kujisaidia sebuleni kwako ni sawa tu ?mimi siwezi hata kama sina hata hilo darasa la saba.Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
kumbe mnajua ukweli halafu ''mnajifanya'' wenyewe wajinga.Kweli mkuu hujamsikia Prof. akisema Maalim na Mbowe walikuwa wanamzunguka, wanapanga mipango ya UKAWA bila kumshirikisha?
kwani amesemaje? kwa taarifa yako upande wa bara wote wako pamoja na Prof. isipokuwa vibaraka wachache kama akina julius ndo wanaojipendekeza kwa msaliti seif aliyemsaliti mwenzake kama alivyomsaliti marehemu Mzee Jumbe...mwenendo wa Prof.Lipumba hivi karibuni ndiyo unaosababisha adharauliwe na kuvunjiwa heshima.
..hata marafiki zake kama Mohamed Said wanamshangaa kwa haya mambo anayoyafanya.
..Prof angekaa pembeni na wenzake ktk cuf kama wangemhitaji wangemuomba arudie ktk nafasi ya mwenyekiti. Lakini siyo yeye Prof kuanza kuleta vurugu na mifarakano ktk chama.
...kubenea ndo aliyetoa hoja..? iweje suala ulianzishe wewe na bwana mdogo "uc..hw..ara" alafu data atoe mtu mwingine, wepesi sana nyie , tunawapeleka tunavyotaka na hamuwezi kuchomoa hata siku moja....Wewe fuata data za fisadi pale ufipa ukikosa kabisa muone kubenea
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
jk kama umeangalia hiyo video ya seif mpaka mwisho kuna sehemu wanamzomea seif kabisa. Naamini kabisa Prof. amerudi kutokana na shinikizo la wana-CUF wengi na hasa kutoka bara. ndo maana leo hii seif hawezi thubutu kuita kile kikao halali cha kumuondoa Prof maana anajua fika hatapata kura za kutosha kumuondoa Prof. kama wangekuwa wanaangalia mbali lilikuwa ni suala la kukaa tena off-media. lakini inashangaza wameshindwa hili. hasa kutokana na kuongozwa na chadema off-media.Abunuas,
..Prof angekaa pembeni kwanza.
..siasa ni kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.
..hii habari ya yeye kutaka kurudi ktk nafasi yake ina hatari ya kukivunja chama.
jk kama umeangalia hiyo video ya seif mpaka mwisho kuna sehemu wanamzomea seif kabisa. Naamini kabisa Prof. amerudi kutokana na shinikizo la wana-CUF wengi na hasa kutoka bara. ndo maana leo hii seif hawezi thubutu kuita kile kikao halali cha kumuondoa Prof maana anajua fika hatapata kura za kutosha kumuondoa Prof. kama wangekuwa wanaangalia mbali lilikuwa ni suala la kukaa tena off-media. lakini inashangaza wameshindwa hili. hasa kutokana na kuongozwa na chadema off-media.
Mbona umeshindwa kuisaidia chadema isiwapokee watuhumiwa wa ufisadi. Watu ambao viongozi wenyewe walikuwa wakiwatuhumu miaka nenda rudi. Ni ujuha. Solve kwanza ya ndani kwako kabla ya kurukia ya wenzako. If you live in the glasshouse! Dont throw stones outside my friend! !Kwa hiyo kuwasaidia CUF kuondokana na hii "Comedy" ni kuingilia mamlaka ya chama kingine?
Seriously?
Na yeye alambe bingooMbowe ni ccm damu.<br /><br />Kama unabisha subiri 2020 ataazima tena mgombea urais kutoka ccm. Ataangalia fisadi ambaye anashambuliwa na bavicha alafu ndio anamteua ili bavichaaa hao hao wamsafishe.
Leo nadhani mmekuwa mashuhuda namna mwenyekiti wa chadema akiwa karibu sana na mwigulu, waziri wa mambo ya ndani pale uwanja wa Taifa.
Wapenzi wa chadema wanayohulka ya kuwaita , wanachama wenzao wasaliti na kuwatoa chamani pale wanapoonekana kuwa karibu na ccm.
Sikusikia mwenyekiti akiitwa msaliti bali kuambiwa kuwa ni mzalendo na anafanya siasa safi!
Hii sio sawa! Ni ubaguzi wa wazi kabisa na uonevu kwa wengine![/QUOTE Wacha kuleta chuki Demokrasia sio uadui