realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,983
Kwa mtazamo wako neno irrelevant ni tusi/uzalilizashaji?
Neno irrelevant maanake,hailingani au haina maana sawa,upoooo Lipumba kwa sasa hana maana sawa na UKAWA,tokana na matendo atendayo.