Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Ahahahhaaha!! Wewe ndiyo utakuwa mnazi kuna watu walimtukana Lowassa kama Chadema au unajitoa ufahamu mapenzi kitu kibaya sana.

Vijana wa CDM akili zao zimeshikwa na Mbowe....wamepoteza hata uwezo wa kutafakari mambo madogo tu....

Mbaya wa Mbowe automatically naye ni mbaya wao....na rafiki wa Mbowe naye ni rafiki......

Ndio hao hao waliokuwa wakishangilia Mbowe akimuita Lowasa fisadi na kila aina ya tusi.....na ndio hao hao wanaoshangilia Mbowe akimuita Lowasa ni kamanda na mpambanaji......hadi hapo unaweza kuona ni jinsi gani taifa hili ukombozi wake upo mbali......

CCM kumeoza na kunatoa funza....na funza wengine wamedondokea CCM chana ambacho tuliamini kuwa ndio mkombozi wetu.....ndio hao hao funza wanaoitafuna CDM ya sasa....
 
Kama profesa hajiheshimu acha adhalilishwe tu
 
Hapo sasa wewe unataka iwe utakavyo Mbowe hajasema Lipumba ni "irrelevant" but Mbowe amesema Lipumba ni political irrelevant hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu wangu,watanzania tujifunzeni kusoma maandiko kwa makini.
 
We muache asiweke akiba ya maneno, hakumbuki miaka kadhaa nyuma alikuwa kinara wa kumnanga Edo, leo Edo ndio anamuuliza Mbowe 'ni nani relevant person hapa Tanzania?' Mbowe anajibu huku ameweka mikono nyuma 'ni wewe Baba'
 
Kweli mkuu hujamsikia Prof. akisema Maalim na Mbowe walikuwa wanamzunguka, wanapanga mipango ya UKAWA bila kumshirikisha?
Kwa hiyo kwa lipumba kuanika ukweli amekuwa hana maana?
 
...ushalegea mkuu, so unaongea ukitegemea mawazo ya mtu mwingine, bhahahahhaaaaaa ccm wepesi sana...
Wewe fuata data za fisadi pale ufipa ukikosa kabisa muone kubenea
 
Sio tu irrelevant he is also impotent
(sijui nimelikoroga mapronoun na vocabulary)
Morally and intellectually bankrupt ame achive nini katka miaka yake yote kwenye siasa?
Zile ziara za mihadhara ya kiuchumi nje ya nchi hakuna tena,sasa njaa imemfikisha kwenye umalaya wa kisiasa
 
Hapa elimu nayo ni tatizo.Mbowe anaona fahari kutamka maneno ya kiingereza ambayo nina uhakika kwake anaona kaongea sana lakini hajui thamani ya neno na madhara yatokanyo.Jamani jaribuni khchagua viongozi wenye shule kichwani.

Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
 
Hapo sasa wewe unataka iwe utakavyo Mbowe hajasema Lipumba ni "irrelevant" but Mbowe amesema Lipumba ni political irrelevant hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu wangu,watanzania tujifunzeni kusoma maandiko kwa makini.
Yaani hapo kwenye political irrelevance ndio hoja yangu ilipolalia....
 
Mbowe katika makosa yote kisiasa aliyowahi kufanya basi katika hili mbowe amemkosea sana ni bora angetulia kimyaa tuu ,

  1. Upande wa pili lipumba akianza kujibu mapigo mbowe huenda ikashuka heshima yake kisiasa maana akianza kuchambuliwa c.v yake hadharani itakuwa sasa ni issue nyingine
umedanganywa na hao wa team yako! kwahiyo wewe unaamini Mbowe ni darasa la saba? Huko USA alienda kutembea miaka kadhaa? Watanzania hamjui mifumo ya elimu ndio maana ni rahisi kudanganywa!
 
Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
Kwahiyo unatakaje?
 
Tatizo vibwengo wa Lumumba mtu wenu akiambiwa ukweli mnasema ametukanwa. We unaona kitendo alichofanya propesa kukiambia uwanja wa mapambano kinastahili heshima?
 
Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
Wee mbona huishi kumtukana Lowassa?
 
Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
Mishipa ya aibu ishakatika, usishangae kesho akamuita "POTENTIAL ASSET" to Tanzanian politics
 
Back
Top Bottom