gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Hakika Juma pumba maharagwe tumeona asivyotaka kukosolewaMwenyekiti mzigo hataki kukosolewa!
Hakika Juma pumba maharagwe tumeona asivyotaka kukosolewaMwenyekiti mzigo hataki kukosolewa!
Siasa sio ugomvi wala uadui unapaswa kujua na kujifunza hilo
waachie ukawa wenyewe wajadili waone kama mwenyekiti wao msaliti au laa!
Chadema hawajalalamika unalalamika wewe hiyo ndio tabia mmerithi kwa anayelalamika kuhusu kuzima mitandao
labda niandike kidogo,..Ok.
..lakini mimi kwa mtizamo wangu this was not the right time kwa Prof kurejea ktk nafasi ya mwenyekiti.
..ngoja tuone mwisho wa huu mgogoro.
..kuna hatari kubwa kwa cuf kuvunjika.
..kazi ya kujenga chama upya siyo rahisi.
.
Irrelevant maana yake nini? Tuanzie hapo...Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Wewe umeishia la ngapi?Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Mimi nataka nishangae lakini nashindwa kushangaa...mwenendo wa Prof.Lipumba hivi karibuni ndiyo unaosababisha adharauliwe na kuvunjiwa heshima.
..hata marafiki zake kama Mohamed Said wanamshangaa kwa haya mambo anayoyafanya.
..Prof angekaa pembeni na wenzake ktk cuf kama wangemhitaji wangemuomba arudie ktk nafasi ya mwenyekiti. Lakini siyo yeye Prof kuanza kuleta vurugu na mifarakano ktk chama.
Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
labda niandike kidogo,
mkuu hilo sibishi. hata mimi kimoyomoyo nasema hivyo hivyo kuwa Prof. angevuta subira kwanza. lakini kinachofanya nimsapoti Prof. ni hii tabia ya Seif iliyojengeka. alichokifanya sasa hivi ni marudio tu. alishakifanya kwa Aboud Jumbe kwa kupeleka maneno kwa mwl. nyerere na matokeo yake sote tunayafahamu kilichomkuta yule mzee. nilifikiri alishajifunza.
Prof. Lipumba ndo muasisi wa ukawa na ndo aliyemkaribisha mzee lowassa kuja ukawa. (na siamini kama kweli kuondoka kwa Lipumba kuna uhusiano wowote na Lowassa, sema tu ilikuwa justifcation, maana ukweli ndo unasemwa sasa hivi) kilichomfanya ajiuzulu ni ile kuzungukwa na seif. yeye anajua wako na seif pamoja kumbe mwenzie anamzunguka. anaenda kwenye vikao yeye akiwa kama kwenyekiti wa ukawa na Dr. slaa katibu anashangaa anapewa habari za chama chake na akina mbowe. hii kiukweli ni dharau ya hali ya juu. kama kuna kitu seif alitaka kwa nini asimuambie Lipumba na wakawa na msimamo wa pamoja kama chama ili kulinda hata kama ni masilahi ya chama? siamini kama kweli Prof. angekataa ukizingatia wamefanya kazi pamoja kwa zaidi ya miaka 20.
ndo maana binafsi na kwa sauti naona anachofanya Prof. ni sawa kabisa hasa kwa aina ya mtu mwenyewe (seif) na tabia zake za ovyo mpaka hata katika umri ule.
Jamani acheni maneno yenu kama mnaona hamna hoja si mkae kimya ? Hivi unaweza linganisha kifo na usingizi ? Yaani mbowe awe msaliti kwa ajili ya mpira na mh mwigulu ?? Siasa au demokrasia sio uadui ! Kwani mbowe na mwigulu waligombea kiti ikimoja ? Wana haki ya kusalimiana sio kama nyie manyumbu wenye fikra finyu !! UKAWA na ccm ni waelewa sana ! Siasa ni mara moja kwa miaka 5 ila mpira kila siku upo
umesahau kama cuf ni mshirika mwenza wa ukawaNyie mbona mmedandia ya CUF? Kwa nini msiwaache wenyewe?
Waliomaliza darasa LA saba ndio wametufikasha hapa tulipo sasa ni pamoja na maprofesa UCHWARA,WACHUMIA TUMBOMbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii

katika maisha ukiwa na mambo ya ajabu ajabu hata ndugu zako hawakushirikishi mambo Fulani Fulani,hata mpemzi wako au mke wako au Mme wako waweza kupigwa chiniKweli mkuu hujamsikia Prof. akisema Maalim na Mbowe walikuwa wanamzunguka, wanapanga mipango ya UKAWA bila kumshirikisha?
kwa umri ule busara zingemuongoza kuliko alichofanya.Lowasa alikuwa anamvuta pembeni anamlainisha kwa 200m ili azidi kulegea
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
huwezi kuelewa kwa sababu akili zako hazishabihiani hata na std 7.Hivi ni kweli Lipumba ni profesa? Mbona anayoyafanya hata std VII hafanyi?