Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe ndiyo kila kitu Chadema hamna wa kumpinga ukijaribu lazima ufukuzwe Chadema.

Uwa namsifu sana Mbowe pamoja na elimu yake kiduchu lakini kaweza kuwashikia akili wafuasi wake.

Hiyo picha angepiga Zitto humu JF kungekuwa matusi matupu.
 
Mwenyekiti mzigo hataki kukosolewa!
 
Basi kwa mwendo huo inabidi UKAWA tuwe na bunge letu tofauti na lile la Jobu.
 
Kwani yule Meya wa Kinondoni aliitwa msaliti alivyopeana mkono na Magufuli? Chadema sio chama cha chuki kama ccm wao kazi kutumia jeshi kuwauwa raia tu.
 
Mbowe ndiyo kila kitu Chadema hamna wa kumpinga ukijaribu lazima ufukuzwe Chadema.

Uwa namsifu sana Mbowe pamoja na elimu yake kiduchu lakini kaweza kuwashikia akili wafuasi wake.

Hiyo picha angepiga Zitto humu JF kungekuwa matusi matupu.
Kuna anayeweza kumwambia kitu Magufuli? au unaona ya chadema lakini ccm yao huyaoni?
 
Kama Mh.Mbowe unakubaliana na goli la Yanga,,na nimekuona unashangilia kuwa mmeshinda..Kiukweli hakuna haja ya kupinga matokeo ya Zanzibar maana goli la Yanga alinatofauti na uchaguzi wa Zanzibar # *Ukawa hawatakagi ujinga*
 
Leo nadhani mmekuwa mashuhuda namna mwenyekiti wa chadema akiwa karibu sana na mwigulu, waziri wa mambo ya ndani pale uwanja wa Taifa.

Wapenzi wa chadema wanayohulka ya kuwaita , wanachama wenzao wasaliti na kuwatoa chamani pale wanapoonekana kuwa karibu na ccm.

Sikusikia mwenyekiti akiitwa msaliti bali kuambiwa kuwa ni mzalendo na anafanya siasa safi!

Hii sio sawa! Ni ubaguzi wa wazi kabisa na uonevu kwa wengine!
Fanya na wewe
 
Mbowe alikuwa anashangilia Goli haramu la Tambwe halafu anataka tuwasaidie kusikitia Magoli ya Comrade Jecha Salum Jecha, Tambwe na Jecha wanatofautiana vp Magoli yao
 
Duh!! Kuna mijitu haina akili na wewe ni mmojawapo vipi kuhusu ili mechi ya hisani ya wabunge kuchangia maafa ya tetemeko Kagera je walikuwa pamoja wabunge wa CCM na upinzaji au walijitenga? Ukipata jibu utajigungua jinsi ulivyo mpuuzi.
 
Nyani huwa haoni kundule
 
Kama Mh.Mbowe unakubaliana na goli la Yanga,,na nimekuona unashangilia kuwa mmeshinda..Kiukweli hakuna haja ya kupinga matokeo ya Zanzibar maana goli la Yanga alinatofauti na uchaguzi wa Zanzibar # *Ukawa hawatakagi ujinga*
Hahahahaja kamanda hapa umegonga parparee
 
Duh!! Kuna mijitu haina akili na wewe ni mmojawapo vipi kuhusu ili mechi ya hisani ya wabunge kuchangia maafa ya tetemeko Kagera je walikuwa pamoja wabunge wa CCM na upinzaji au walijitenga? Ukipata jibu utajigungua jinsi ulivyo mpuuzi.

Vipi wabunge wa UKAWA waliposusia futari ya waziri mkuu Dodoma
 
waachie ukawa wenyewe wajadili waone kama mwenyekiti wao msaliti au laa!
Chadema hawajalalamika unalalamika wewe hiyo ndio tabia mmerithi kwa anayelalamika kuhusu kuzima mitandao
 
Vipi wabunge wa UKAWA waliposusia futari ya waziri mkuu Dodoma
Hao Wabunge walikuwa wamefunga? Wewe unafikiri futuru inafuturiwa kwa mchanganyiko kihivyo? Kwa waliokuwa wamefunga kususia futuru hiyo walijipati swawabu kuliko hao waliochanganyika na hao wasiofunga tena dini tofauti.
 
Mbowe ndiyo kila kitu Chadema hamna wa kumpinga ukijaribu lazima ufukuzwe Chadema.

Uwa namsifu sana Mbowe pamoja na elimu yake kiduchu lakini kaweza kuwashikia akili wafuasi wake.

Hiyo picha angepiga Zitto humu JF kungekuwa matusi matupu.
Au angepiga Lipumba,ungewasikia nyumbu wote wakirudi kwa mwendokasi kutoka mtoni.
 
Siasa sio ugomvi wala uadui unapaswa kujua na kujifunza hilo
 
Chadema wamejaa wasanii

Msanii nguli wa maigizo
Dj wa club maarufu

Kuna nini tena
 
Leo nadhani mmekuwa mashuhuda namna mwenyekiti wa chadema akiwa karibu sana na mwigulu, waziri wa mambo ya ndani pale uwanja wa Taifa.

Wapenzi wa chadema wanayohulka ya kuwaita , wanachama wenzao wasaliti na kuwatoa chamani pale wanapoonekana kuwa karibu na ccm.

Sikusikia mwenyekiti akiitwa msaliti bali kuambiwa kuwa ni mzalendo na anafanya siasa safi!

Hii sio sawa! Ni ubaguzi wa wazi kabisa na uonevu kwa wengine!
Mwenye chama anakuwaje msaliti?Jamaa ana mzizi mkali sana
 
JAMANI TWENDE MBELE TURUDI NYUMA MBOWE SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO PALE CHADEMA SIJUI KAMA KUNA MTU ANA UWEZO WA KUMPINGA WALA KUMHOJI.

MI NILICHOKAGA SIKU ALIPOAMUA KUTEUA WABUNGE WA VITI MAALUMU TOKA CCM MWAKA JANA HALAFU TUNAMBIWA AMEBADILI GIA ANGANI
 
Back
Top Bottom