Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
I second Mbowe Prof. Lipumba does not keep his words as a public figure
 
Ukiangalia maoni ya siasa utagundua wananchi weng hatujielewi wengi wetu hvuutia kamba upande mtu anaoupenda
 
Walifikiri tutaishia kwenye mipaka ya Namanga na Tunduma tu.
 
Tunasubiri kuona baada ya kwenda huko wamerudi na nini? Kuna waliodai wanaenda ICC walirudi na nini? Kila jitihada zina mrejesho, kila hatua ina pimwa kwa mafanikio.
We unafikiri ni kwa nini Zanzibar wameamua kufanya marekebisho katika katiba juzi?????? Au usha sahau maana hamkawii ninyi
 
Hiki chama sijui kwanini hakioni kama Mbowe amekosa mwelekeo. Kweli unajifiia kwenda ujerumani, uingereza na Canada kwa hoja dhaifu kabisa ambazo zimetokana na kukosa ushawawishi kwa wananchi baada ya zile mlizozisimamia kutekelezwa na rais? No! Mimi kuwatukuza hao jamaa , acha nife njaa walichowafanyia babu zetu kinatosha.
Wakati juzi ulipokea bilioni 6,usha sahau tayari
 
Anawaomba waliberali wenzake wamsaidie! Ama kweli Tanzania ina viongozi waajabuajabu. Hivi hajui msisitizo na siasa za waliberali?
 
Leo wa lumumba mmetokea wapi?? Mbona mmechamka kama mmeguswa nonihinoo
 
Lowasa hakuanzisha UKAWA......yeye anataka urais tu, hajui cha katiba mpya wala ya zamani.....ndio maaana alikimbia mdahalo. Wapinzani hawakimbii midahalo


Wewe siyo mtanzania kati ya maghufuli na lowassa nani alikimbia?, lowassa yeye alikataa kushiriki lakini maghu alisema atashiriki cha ajabu akakimbia, bbc walimuhoji lowassa lakini magjufuli akaingia mitini
 
We unafikiri ni kwa nini Zanzibar wameamua kufanya marekebisho katika katiba juzi?????? Au usha sahau maana hamkawii ninyi
Marekebisho yamefanywa sababu Seif amewapa hiyo fulsa, alipowaingiza mkenge wenziwe wasiingie kwenye marudio ya uchaguzi ha hivyo kuachia na kupoteza majimbo yao yote. Hiyo inaitwa HASIRA HASARA
 
TWAWEZA wenyewe wamewezwa wamejifia hakuna anaewakumbuka
Zitto Kabwe
September 29 at 1:32pm ·
Dikteta ( Kwa lugha nyepesi ) Ni mtu ambaye anaongoza Nchi Kwa faida yake yeye na kundi lake la utawala. Tanzania haijawahi kuwa naye mtu wa namna hii. Mfano wa Huyu Ni Mobutu, Bokasa, Idi Amin nk.

Dikteta Uchwara ( Kwa tafsiri yangu ) Ni mtawala ambaye anaelekea kuwa Dikteta Kwa tafsiri hiyo hapo juu. Tanzania haina kabisa Huyu maana hawezi kutokana na misingi ya Nchi kuwa imara.

Dikteta Mamboleo Ni mtawala ambaye analeta Maendeleo bila kutaka kuhojiwa. Maji mtapata. Barabara mtapata na Hata ndege mtapata lakini msihoji amepataje. Mifano ya madikteta mamboleo Ni Mingi sana duniani na ndio madikteta wa kisasa hao. Mfano maarufu Ni Vladimir Putin.

2 2
 
Huna cha kuandika? Labda tumia neno jingine, hivi kwa sasa Lipumba anaheshima yeyote mbele ya macho ya watanzania!!! Labda heshima kama baba lakini kama kiongozi mmmmh!
 
Wanadai wanakandamizwa.mwanaume anasafiri ulaya kwenda kuomba apunguziwe mkandamizo.anasahau kwamba yale mapeperu yalionogewa na usodoma na gomola udenda unawatoka....sidhani kama Ukawa wanauzalendo wa kweli.
 
unavojitahidi kuanzisha thread za CUF.....ndio kiongozi wako amekutuma ufanye ivo
 
Back
Top Bottom