Washauri wakubwa zako huko ngazi za juu, wasijaribu kuchakachua, sote tunafahamu watanzania, wanamtaka LOWASSA, matokeo kinyume na hapo ni kuilipua Tanzania, hatupendi tufike huko!atayakubali tu,,mwenzake slaa naye alikuaga na mdomo mrefu kumzidi yeye,na alinyooka....
Mbowe anataka kutengeneza mazingira ya kulaumu wengine badala ya kuangalia makosa yake mwenyewe kama kiongozi.
Vurugu apeleke kwao, asituletee balaa hapa...
CCM ninyi ndio mabingwa wa kuiba kura na dalili zote zinaonyesha wazi kwamba mmeshaweka in place miundo mbinu yote ya wizi wa kura.Tunawaambia CCM,na mlijue hili,kwamba kama utulivu uliopo nchini mwetu utavurugika,we will directly hold you resoponsible. kiwangokwamba
CCM ninyi ndio mabingwa wa kuiba kura na dalili zote zinaonyesha wazi kwamba mmeshaweka in place miundo mbinu yote ya wizi wa kura.Tunawaambia CCM,na mlijue hili,kwamba kama utulivu uliopo nchini mwetu utavurugika,we will directly hold you responsible.