Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

Mbona Slaa hakutambua matokeo hadi kakimbia cdm na nchi inasonga?wasiyakubali tu mwisho wa siku ataomba appointment akanywe kahawa kama kawaida yake na wapumbavu wenzake
 
Chanzo: Nipashe

Mtu mmoja awezi akaisababiahia matatizo nchi yetu. Tunaamani tunafuraha tunalala na kuamka na kila mtu anaendelea na maisha yake kwa amani na hicho ndicho tunataka kama anaona kunauonevu aende mahakamani leo leo
 
ukishinda wewe ndo utakubali lo basi haina haja ya uchaguzi uwe umeshinda kwenye mashindano kuna mshindi sasa kabla ujacheza unasema nikifugwa sitakubali haha uoga huo
 
Mwenyezi mungu atunusuru na kila shari waja wake,sijui kama wanajua au wameshakaa wakaangalia adhari na faida...
 
Mbona unapotosha ukweli wewe mpuuzi? Kashasema hawatokubali matokeo endapo yatakuwa ni ya kupikwa. Sasa alichokosea hapo nini? Au nyinyi CCM mpo tayari kupokea matokeo ya kupika? Ebu usijifanye kujitoa akili kwa kuandika mambo ya kipuuzi na wakati huu ni ukurasa wa great thinkers.
 
Mwenyekiti wa chadema amesema ya kwamba Chama chake ,,hakitakubali matokeo kama yakiwa yamepikwa", huwo usemi wa Bw.Mbowe unamaanisha nini? Ni kwamba liwalo na liwe ukawa wameshajipanga kukataa matokeo kwa maana unaposema hatutakubali matokeo yakiwa yamepikwa hivi kwenye nchi inayoendelea na masikini kama TanZania unawezaje kuwa na 100% free and fair elections?

Ndiyo maana siku zote hata wasimamizi wa kimataifa husema kwamba "a part from minor irregularities the alection was free and fair" ukiachilia mambo madogo madogo kama kuchelewa kufika kwa sanduku la kura au kituo kuchelewa kufunguliwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!

Hivyo nasema Serikali ijiandae vizuri dhidi ya hawa mafisadi kwani wameshadhamiria kufanya chochote ili kushinikiza kuwa sehemu ya Serikali ijayo na kama watu watalemazwa au kufa haijalishi maadamu hakuna raia wa KLM atakayeumizwa kwani Moshi hakuna maandamano!

Unaikumbuka Kauli ya A. Bulembo? Ulileta uzi au nawe waimba wimbo wa kutetea upuuzi?

Mwaka 2010 CDM waliyakataa matokeo, Tuliuana?

Usihalalishe wizi na kuandaa mind ya fujo kisa matokeo. By the way Moshi inahusikaje na Uchaguzi?
 
Mwenyekiti wa chadema amesema ya kwamba Chama chake ,,hakitakubali matokeo kama yakiwa yamepikwa", huwo usemi wa Bw.Mbowe unamaanisha nini? Ni kwamba liwalo na liwe ukawa wameshajipanga kukataa matokeo kwa maana unaposema hatutakubali matokeo yakiwa yamepikwa hivi kwenye nchi inayoendelea na masikini kama TanZania unawezaje kuwa na 100% free and fair elections?

Ndiyo maana siku zote hata wasimamizi wa kimataifa husema kwamba "a part from minor irregularities the alection was free and fair" ukiachilia mambo madogo madogo kama kuchelewa kufika kwa sanduku la kura au kituo kuchelewa kufunguliwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki!

Hivyo nasema Serikali ijiandae vizuri dhidi ya hawa mafisadi kwani wameshadhamiria kufanya chochote ili kushinikiza kuwa sehemu ya Serikali ijayo na kama watu watalemazwa au kufa haijalishi maadamu hakuna raia wa KLM atakayeumizwa kwani Moshi hakuna maandamano!

Uwe unatoa na chanzo cha taarifa yako la sivyo tunapuuza kama zilivyo porojo nyingine.
 
Kwa mtazamo wa Mbowe, CCM wakishinda, yamepikwa.

CDM wakishinda, ni halali.

Absolute nonsense!

Yeyote anaweza kushinda!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ameshaona wapishi wameanza kukaanga vitunguu nn 😂😂😂
 
Mleta uzi una matatizo ya kuelewa kiswahili.Wewe mwenyewe umetumia neno KAMA.Usichoelewa ni nini sasa?
 
Back
Top Bottom