chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,600
- 28,610
‪‬Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefichua mazito baada ya kueleza hadharani kuwa kamwe chama chake na washirika wao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hawatakubali matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayobainika kuwa yamepikwa.
Kadhalika, alisema ni vyema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)na mamlaka za serikali iliyopo madarakani kuheshimu maamuzi ya wananchi yatakayotokana na kura watakazopiga kwenye uchaguzi mkuu Jumapili ijayo, kwani kinyume chake ni kuhatarisha amani iliyopo.
Chanzo: EA Radio.