Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

Mbowe: Hatutayakubali matokeo ya kupikwa na NEC

wakati nyie mki vunjwa vunjwa na kumwagiwa maji ya washa washa, mbowe, lowassa na genge lao watakuwa kwenye mahoteli au ndani ya ma v8 yao wakikatiza mitaa kutafuta pakukimbilia! baada ya dhahama ilo unakua mzigo kwa familia iliyo kuwa inakutegemea
 
Mbowe anataka kutengeneza mazingira ya kulaumu wengine badala ya kuangalia makosa yake mwenyewe kama kiongozi.
 
Nawashauri Ukawa sababu wana mawakala kila kituo cha kupigia kura...basi wawe na database ya simu ya kutuma matokeo pindi tu yanapo hakikiwa na kusainiwa nchi nzima ili nao wawe na clear data za matokeo..ili any diversion from normal waigundue mapema zaidi...Time for Changes.
 
Matokeo hayapikwi na NeC yanapikwa nasisi wananchi tusipenda makuuu. Hatuna kelele wala fujoo... jiandaen kisaikolojiaaaa Ukawa
 
Aaaaaha mbowe alikuwa clever kwa ukawa but cant be clever to ccm,so he already failed the game.let him stop his stupidy words
 
We angaika tu waambie siku siku hiyo wakuletee gunia zima la viroba ukishalewa ufanye hizo vurugu zako halafu uone kama na wewe nnya haijakutoka kama naniliu

Chedema kwisha kabisa, Mbowe na wenzie wamekwisha kufanya tathimini na wamegundua kuwa hawashindi ss wanaanza makeke, ss nyie vibaka mnajidai kuwa patachimbika, mtachibwa mpaka msikie, serikali ipo tena imara sana, hizo ni kelele za humu JF, mkishaona yale magari yanapita mtaani wote mnaishia uvunguni.
 
Ni vema kutoa tahadhari ili kuepusha shari. Kwa nini tutumie gharama kubwa kuandaa uchaguzi, nguvu nyingi na muda halafu kikundi cha watu wachache wapike matokeo badala ya kuheshimu maamuzi ya watu?
Mbowe yuko sahihi kabisa kwani anaipenda nchi yake. Lubuva na wenzake wajue lolote kinyume na hapo watakuwa wanaweka rehani maisha yao ya baadae kwani sheria itakapo chukua mkondo baada ya amani kupotea itawapoteza na wao.


Umenena vyema mkuu.
Ukawa wanajua kinachoendelea NEC.
Kwahiyo wasijifanye wajuaji kuchakachua matokeo.
 
Sasa kama hamuamini watanzani tunajua kupigania haki bas ibeni kura muone

Hapo ulipo hujui chochote kile kuhusu huu uchaguzi, sana sana unategemea mpaka Mbowe akwambie, na huyo ndo alikwambia kuwa Lowasa fisadi na huyo ndo kakwambia Zito msaliti na huyo ndo kakwambia Dr.Slaa kapewa pesa, kwa hali hiyo huna jipya-unasubiria kukaririshwa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hapo ulipo hujui chochote kile kuhusu huu uchaguzi, sana sana unategemea mpaka Mbowe akwambie, na huyo ndo alikwambia kuwa Lowasa fisadi na huyo ndo kakwambia Zito msaliti na huyo ndo kakwambia Dr.Slaa kapewa pesa, kwa hali hiyo huna jipya-unasubiria kukaririshwa.

mimba yako ina miezi mingapi?
 
NEC na CCM wanatabia ya kupika matokeo mbowe kutoa tahadhari mapema .yupo sahihi
 
Back
Top Bottom