Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Ushauri wako tumeupokea!
Mkuu Hapana hajakosea hiyo ni Taasisi yake binafsi ndio maana ana uhakika akiwa hai haiwezi kufa.Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.
Naipongeza hotuba ya Mbowe kwakuwa ilitumia lugha ya tahadhari na staha. Pia, Mbowe alikuwa akizungumza kwa hoja na kwa kutaka kutoa somo kwa wapigakura-hatua kwa hatua. Binafsi, naiona sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe kama bora, yenye ukomavu wa kisiasa, umahiri na ujuzi wa mambo mengi yakiwemo ya kimaisha kwa watanzania.
Lakini, kuna kitu kimoja Mhe. Mbowe hakupaswa kukisema kadiri alivyokisema. Alikuwa akijenga hoja kuwa katika vyama vya siasa vya upinzani kuna juhudi za kuvidhoofisha au hata kuvisambaratisha. Akawa anatolea mfano mtifuano unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi almaarufu kama CUF.
Mhe. Mbowe akasema, pamoja na mambo mengine, kuwa CHADEMA 'itauwawa' siku akifa yeye na si akiwepo. Hapo ndipo penye tatizo. Pamoja na kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa juu kabisa wa chama chake, anapaswa kujua kuwa chama si mtu, chama ni mfumo. Kauli yake hiyo inaonyesha wazi kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ndiye yeye.
Hilo si jambo jema. Akiwa ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini anapaswa kujenga chama kimfumo zaidi kuliko watu. Asikijenge chama chake katika kuwategemea watu ambao 'wakifa' na chama kinakufa. Ingawa mimi si mwanasiasa, naamini kuwa chama si watu pekee. Ni itikadi. Hata chama chenye wanachama wachache chaweza kushinda uchaguzi kwa itikadi.
Najua, Mhe. Mbowe alikuwa kwenye jukwaa la kisiasa. Kwa kusema vile, hakika, aliteleza. Hakupaswa kusema vile. Kauli ya kuonyesha kuwa 'akifa' yeye ndipo chama chake kitaanza kudhoofishwa au kuuwawa si kauli njema kisiasa. Kwa ukomavu, umahiri na ubobezi wake katika ulingo wa kisiasa, naamini atakuwa makini zaidi!
CHADEMA ndio madikteta balaa. Hatujui uchaguzi wao ukoje, DJ anaendelea kula maisha.Aliyoyasema Mbowe huko Mtwara ndio hali halisi ya CHADEMA na ndio ukweli......wenyewe ambao watu wengi CDM WANAFUMBA MACHO ILI KUTOUONA UKWELI......
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye.....akiondoka yeye maana yake CHADEMA ITAKUFA....na ndio maana akafuta kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA ILI YEYE AENDELEE KUWA MWENYEKITI MPAKA SIKU MUNGU ATAKAPOMCHUKUA.....
MBOWE HAAMINI KAMA KUTAKUJA KUWA NA KIONGOZI MAHIRI CHADEMA KULIKO YEYE..........
Na yule cha pombe anayesema "serikali yangu" tumsamehe kwa kuwa kalewa?Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.
Naipongeza hotuba ya Mbowe kwakuwa ilitumia lugha ya tahadhari na staha. Pia, Mbowe alikuwa akizungumza kwa hoja na kwa kutaka kutoa somo kwa wapigakura-hatua kwa hatua. Binafsi, naiona sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe kama bora, yenye ukomavu wa kisiasa, umahiri na ujuzi wa mambo mengi yakiwemo ya kimaisha kwa watanzania.
Lakini, kuna kitu kimoja Mhe. Mbowe hakupaswa kukisema kadiri alivyokisema. Alikuwa akijenga hoja kuwa katika vyama vya siasa vya upinzani kuna juhudi za kuvidhoofisha au hata kuvisambaratisha. Akawa anatolea mfano mtifuano unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi almaarufu kama CUF.
Mhe. Mbowe akasema, pamoja na mambo mengine, kuwa CHADEMA 'itauwawa' siku akifa yeye na si akiwepo. Hapo ndipo penye tatizo. Pamoja na kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa juu kabisa wa chama chake, anapaswa kujua kuwa chama si mtu, chama ni mfumo. Kauli yake hiyo inaonyesha wazi kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ndiye yeye.
Hilo si jambo jema. Akiwa ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini anapaswa kujenga chama kimfumo zaidi kuliko watu. Asikijenge chama chake katika kuwategemea watu ambao 'wakifa' na chama kinakufa. Ingawa mimi si mwanasiasa, naamini kuwa chama si watu pekee. Ni itikadi. Hata chama chenye wanachama wachache chaweza kushinda uchaguzi kwa itikadi.
Najua, Mhe. Mbowe alikuwa kwenye jukwaa la kisiasa. Kwa kusema vile, hakika, aliteleza. Hakupaswa kusema vile. Kauli ya kuonyesha kuwa 'akifa' yeye ndipo chama chake kitaanza kudhoofishwa au kuuwawa si kauli njema kisiasa. Kwa ukomavu, umahiri na ubobezi wake katika ulingo wa kisiasa, naamini atakuwa makini zaidi!
Na ndio ilivyoUpo sahihi. Hilo hakupaswa kuliongea, maana linajenga picha ya kwamba Chama hicho ni one man show
Hii shahuku ya kutaka kila mara kuanzisha thread uonekane unajua kujenga hoja,itawafanya siku moja muwe wanafaki au wachawi.
CCM NDO NAONA MKT WENU ANAMALIZIA KUPIGILIA MISUMARI KWENYE LIJENEZA LENU.........Hilo li chama lilishakufa mara nyingi anataka life mara ngapi???
Imekuingia ni bora ukubwa like tu ukweli. Mmezoea kukosoa ya upande wa pili, leo unalazimisha chui tumuite parka ili kupunguza ukali wake?
Kwa ufahamu wangu Mzee Mtei alimuachia Uenyekiti Bob Makani.Ndugu Mselewa, Mbowe hakukosea anacho kisema kimetoka kwenye uvungu wa moyo wake. Chama alikabidhiwa na baba mkwe wake ikiwa kama mradi wa familia.
Ndio maana aliweza kuondoa ukomo wa madaraka na aliye jaribu Ku mpinga alionyeshwa mlango.
Mbowe ndiye anaye tafuna Fedha za ruzuku, ndiye anaye chagua vimada kuwa wabunge, Ndiye anaye amua nani akae wapi kwenye chama. Ata ao wabunge wa kiume wana msujudia dikteta Mbowe.
Yeye ndio aliye muuzia Chama mamvi.
Kuna mambo mengi ndani ya Chadema hayako sawa ila hakuna wa kumyoooshea kidole dikteta Mbowe.
Kwa ujumla Chadema ni mradi wake na hakuna Mtanzania Mwenye akili timamu asiye fahamu Ilo. Wengi wa wanachama wamebaki kutizama tu. Kama sasaivi izi chaguzi ndogo za madiwani atakwambia ametumia mamilioni ya Fedha za chama kuratibu uchaguzi. Kwa ujumla uyu in zaidi ya mwenye chama. Ila mazombi yana kenuaa meno na kumtetea mwizi wa Kodi za watanzania.
Wape majukwaa wazunguke nchi nzima ndio utajua kimekufa au la! Unafikiri mkulu kuwakataza alikosea, yeye ndio ana taarifa zao kuliko wewe.Hilo li chama lilishakufa mara nyingi anataka life mara ngapi???
Mmemshauri vibaya Dr. Slaa kaishia kuwa chinga Toronto.Prof.lipumba naye siku zinahesabika soon atakuwa dereva wa Uber Manhattan
Hakuteleza chadema yeye ndie mmiliki halali wa hiyo chadema companyNimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.