Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Wazungu wanasemaga "over my dead body" kuonyesha msisitizo. Tafsiri isiyo rasmi ikiimaanisha "itabidi mniue kwanza ili mfanikishe lengo lenu". Labda moyoni Mh. Mbowe alitaka kusema hawawezi kuiua Chadema yeye akiaangalia tu kama Mwenyekiti labda mpaka awe amesharest in peace.