haya umeyasema weweKifupi ni mwenyekiti wa kudumu.!
Dr Slaa anahusika vipi hapa?...acha mzee apumzike..... maana mchango wake ndani ya siasa za upinzani Tanzania haujifutika kamwe.haya umeyasema wewe
the best you can do mfuate slaa ukakae naye honeymoon
.......Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia..............!
mchango upi haswa hebu useme? wa kuamua kununulika na kuhamishiwa ughaibuni? True men never do that manmaana mchango wake ndani ya siasa za upinzani Tanzania haujifutika kamwe.
True men never quit brah..only cowards doNgoja tuendelee na hawa wajasiliamali wa siasa....
Ni utomvu wa nidhamu kudharau mchango wa Dr Slaa Ndani ya siasa za Tanzania.mchango upi haswa hebu useme? wa kuamua kununulika na kuhamishiwa ughaibuni? True men never do that man
manake huchelewi kusema ""kula mihogo""
True men never quit brah..only cowards do
Dr Slaa anahusika vipi hapa?...acha mzee apumzike..... maana mchango wake ndani ya siasa za upinzani Tanzania haujifutika kamwe.
Ngoja tuendelee na hawa wajasiliamali wa siasa....
Mkuu ndio maaana kuna mawakili wa kushindwa kesi kila siku mahakamani. Mleta thread huwa naona anajitambulisha au kutambulishwa kuwa ni wakili, lakini ameshindwa kuielewa lugha rahisi kabisa aliyotumia Mbowe!Mbowe yy kwa sasa ndo mwenyekiti so chama kikifa yy ndo wakulaumiwa so amejarbu kuonesha msisitizo katka uongoz wake chama hakitomfia
Hiii ni sawa na mpira mess ndo kapten wa agentina kila wanavofungwa fainali yy ndo analaumiwa coz ndo kiongoz,,au ronaldo kupewa sifa zote za ushnd wa ureno japo hakumaliza hata kipind cha kwanza
So ndo hvohvo kwa mbowe baya lolote yy ndo atalaumiwa na zuri yyte yy ndo atasifiwa
Umekariri.!
Wazee wa kuwashwawashwa na mambo ya Chadema!Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.
Naipongeza hotuba ya Mbowe kwakuwa ilitumia lugha ya tahadhari na staha. Pia, Mbowe alikuwa akizungumza kwa hoja na kwa kutaka kutoa somo kwa wapigakura-hatua kwa hatua. Binafsi, naiona sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe kama bora, yenye ukomavu wa kisiasa, umahiri na ujuzi wa mambo mengi yakiwemo ya kimaisha kwa watanzania.
Lakini, kuna kitu kimoja Mhe. Mbowe hakupaswa kukisema kadiri alivyokisema. Alikuwa akijenga hoja kuwa katika vyama vya siasa vya upinzani kuna juhudi za kuvidhoofisha au hata kuvisambaratisha. Akawa anatolea mfano mtifuano unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi almaarufu kama CUF.
Mhe. Mbowe akasema, pamoja na mambo mengine, kuwa CHADEMA 'itauwawa' siku akifa yeye na si akiwepo. Hapo ndipo penye tatizo. Pamoja na kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa juu kabisa wa chama chake, anapaswa kujua kuwa chama si mtu, chama ni mfumo. Kauli yake hiyo inaonyesha wazi kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ndiye yeye.
Hilo si jambo jema. Akiwa ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini anapaswa kujenga chama kimfumo zaidi kuliko watu. Asikijenge chama chake katika kuwategemea watu ambao 'wakifa' na chama kinakufa. Ingawa mimi si mwanasiasa, naamini kuwa chama si watu pekee. Ni itikadi. Hata chama chenye wanachama wachache chaweza kushinda uchaguzi kwa itikadi.
Najua, Mhe. Mbowe alikuwa kwenye jukwaa la kisiasa. Kwa kusema vile, hakika, aliteleza. Hakupaswa kusema vile. Kauli ya kuonyesha kuwa 'akifa' yeye ndipo chama chake kitaanza kudhoofishwa au kuuwawa si kauli njema kisiasa. Kwa ukomavu, umahiri na ubobezi wake katika ulingo wa kisiasa, naamini atakuwa makini zaidi!
Nimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.
Naipongeza hotuba ya Mbowe kwakuwa ilitumia lugha ya tahadhari na staha. Pia, Mbowe alikuwa akizungumza kwa hoja na kwa kutaka kutoa somo kwa wapigakura-hatua kwa hatua. Binafsi, naiona sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe kama bora, yenye ukomavu wa kisiasa, umahiri na ujuzi wa mambo mengi yakiwemo ya kimaisha kwa watanzania.
Lakini, kuna kitu kimoja Mhe. Mbowe hakupaswa kukisema kadiri alivyokisema. Alikuwa akijenga hoja kuwa katika vyama vya siasa vya upinzani kuna juhudi za kuvidhoofisha au hata kuvisambaratisha. Akawa anatolea mfano mtifuano unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi almaarufu kama CUF.
Mhe. Mbowe akasema, pamoja na mambo mengine, kuwa CHADEMA 'itauwawa' siku akifa yeye na si akiwepo. Hapo ndipo penye tatizo. Pamoja na kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa juu kabisa wa chama chake, anapaswa kujua kuwa chama si mtu, chama ni mfumo. Kauli yake hiyo inaonyesha wazi kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ndiye yeye.
Hilo si jambo jema. Akiwa ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini anapaswa kujenga chama kimfumo zaidi kuliko watu. Asikijenge chama chake katika kuwategemea watu ambao 'wakifa' na chama kinakufa. Ingawa mimi si mwanasiasa, naamini kuwa chama si watu pekee. Ni itikadi. Hata chama chenye wanachama wachache chaweza kushinda uchaguzi kwa itikadi.
Najua, Mhe. Mbowe alikuwa kwenye jukwaa la kisiasa. Kwa kusema vile, hakika, aliteleza. Hakupaswa kusema vile. Kauli ya kuonyesha kuwa 'akifa' yeye ndipo chama chake kitaanza kudhoofishwa au kuuwawa si kauli njema kisiasa. Kwa ukomavu, umahiri na ubobezi wake katika ulingo wa kisiasa, naamini atakuwa makini zaidi!
Mawakili kanjanja kama huyu Petero hao kesi zao ni kama hizi.Mkuu ndio maaana kuna mawakili wa kushindwa kesi kila siku mahakamani. Mleta thread huwa naona anajitambulisha au kutambulishwa kuwa ni wakili, lakini ameshindwa kuielewa lugha rahisi kabisa aliyotumia Mbowe!
ajakosea Nyerere aliyasema hayo kwamba ccm itakuwa mashakani atakapoondoka na ndivyo ilivyoNimebahatika kusikiliza kipande cha hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe aliyoitoa huko Mtwara. Ni katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika Kata ya Reli mkoani humo. Mwenyekiti huyo wa CHADEMA alizungumza mambo mengi yakiwemo ya kivyama, kimaisha na kadhalika. Niseme wazi kuwa Mbowe alitoa hotuba nzuri na ya kuvutia.
Naipongeza hotuba ya Mbowe kwakuwa ilitumia lugha ya tahadhari na staha. Pia, Mbowe alikuwa akizungumza kwa hoja na kwa kutaka kutoa somo kwa wapigakura-hatua kwa hatua. Binafsi, naiona sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe kama bora, yenye ukomavu wa kisiasa, umahiri na ujuzi wa mambo mengi yakiwemo ya kimaisha kwa watanzania.
Lakini, kuna kitu kimoja Mhe. Mbowe hakupaswa kukisema kadiri alivyokisema. Alikuwa akijenga hoja kuwa katika vyama vya siasa vya upinzani kuna juhudi za kuvidhoofisha au hata kuvisambaratisha. Akawa anatolea mfano mtifuano unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi almaarufu kama CUF.
Mhe. Mbowe akasema, pamoja na mambo mengine, kuwa CHADEMA 'itauwawa' siku akifa yeye na si akiwepo. Hapo ndipo penye tatizo. Pamoja na kuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa juu kabisa wa chama chake, anapaswa kujua kuwa chama si mtu, chama ni mfumo. Kauli yake hiyo inaonyesha wazi kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ndiye yeye.
Hilo si jambo jema. Akiwa ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini anapaswa kujenga chama kimfumo zaidi kuliko watu. Asikijenge chama chake katika kuwategemea watu ambao 'wakifa' na chama kinakufa. Ingawa mimi si mwanasiasa, naamini kuwa chama si watu pekee. Ni itikadi. Hata chama chenye wanachama wachache chaweza kushinda uchaguzi kwa itikadi.
Najua, Mhe. Mbowe alikuwa kwenye jukwaa la kisiasa. Kwa kusema vile, hakika, aliteleza. Hakupaswa kusema vile. Kauli ya kuonyesha kuwa 'akifa' yeye ndipo chama chake kitaanza kudhoofishwa au kuuwawa si kauli njema kisiasa. Kwa ukomavu, umahiri na ubobezi wake katika ulingo wa kisiasa, naamini atakuwa makini zaidi!
Imekuingia ni bora ukubwa like tu ukweli. Mmezoea kukosoa ya upande wa pili, leo unalazimisha chui tumuite parka ili kupunguza ukali wake?Petro E Mselewa,nadhani alikuwa zaidi anaweka msisitizo wa jambo husika.Ila nadhani ilichanganyika na kahasira kidogo.