petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
Hapo ndiponapo shidwa kwakukimbilia umimi chadema.mwenyekiti kaweka superglue
Historia ya vyama vya upinzani katika nchi nyingi hasa ambavyo havijashika dola,mabadiliko ni nadra hasa uongozi wa juu. Huhitaji mlezi mwenye azma isiyobadilikabadilika ili chama kizidi kujiimarisha. Mifano ipo mingi kwa nchi za Afrika na kwingineko.Aliyoyasema Mbowe huko Mtwara ndio hali halisi ya CHADEMA na ndio ukweli......wenyewe ambao watu wengi CDM WANAFUMBA MACHO ILI KUTOUONA UKWELI......
Mbowe ni CHADEMA na CHADEMA ni yeye.....akiondoka yeye maana yake CHADEMA ITAKUFA....na ndio maana akafuta kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA ILI YEYE AENDELEE KUWA MWENYEKITI MPAKA SIKU MUNGU ATAKAPOMCHUKUA.....
MBOWE HAAMINI KAMA KUTAKUJA KUWA NA KIONGOZI MAHIRI CHADEMA KULIKO YEYE..........