HakikaKwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.
What kind of a leader this man is? Great man
Mbowe is a Genuine and Obedient of Truth,therefore his tears means a lot.Hakika kuna mengi ya kunifunza kutoka kwa Mwamba huyu. Pamoja na mateso yote ya miezi zaidi ya 7 Mbowe hakupata kupiga goti mbele ya watesi wake wala kumwaga chozi bali ilikuwa ni tabasamu na ucheshi.
Lakini siku ya kwanza kutoka gerezani na kuingia kanisani kutoa shukrani ya pekee kwa Mungu kamwaga chozi mbele za Mungu wake. Nini maana yake?
Kwake Mungu ndio kimbilio na nguvu, msaada unaopatikana wakati wa shida na haogopi lolote linalotendwa nje ya mapenzi ya Mungu.
What kind of a leader this man is? Great man!
Oneni tofauti ya hizo picha.
View attachment 2141822View attachment 2141823
Naunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.Kasomi , itakuwa hujamfahamu vizuri Mh. Mbowe, Soma comment za wanao mfahamu Mh. Mbowe wana sema nini.
==π
View attachment 2141839
Samahan ndugu. Asirudie nini?Cha msingi Asirudie tena hilo ndilo akumbuke Siku zote
Kupanga ugaidiSamahan ndugu. Asirudie nini?
Kwani pastor anapofukuza mapemo kwa Jina la Yesu anakuwa hana hakima au busaraNaunga mkono mawazo yao lakini nitajaribu kuwapinga kidogo.
Mwaka 2020 wakati wa kampeni za ufungizi kwa Chadema mbowe alijishushia busara kwa kuwafukuza kama mbwa waandishi wa TBC.
Je, Mtu mwenye busara anaweza fanya hivyo? Tena akiwa live
Huo ugaidi mahakama gani ilimkuta na hatia? mbona mliingia mitini mpira kwapani?Cha msingi Asirudie tena kupanga ugaidi hilo ndilo akumbuke Siku zote
ππππππHuo ugaidi mahakama gani ilimkuta na hatia? mbona mliingia mitini mpira kwapani?
Basi angekuwa gerezani. Lakin mahakama hajamuhukumu wa kumkuta na hatia. Unasemaje mdau?Kupanga ugaidi
Alikupangia kwa mkeo/mumeoπ€ͺKupanga ugaidi
Hao Sasa kilichobaki ni kuwaza njia mbaya kama waliyotumia kwa makamo m. Kiti, kwani chuki Yao kwa mwamba ni kubwaπ€.Ndio maana bado anawahitaji walinzi wake wale.ππππππ