Mbowe, Dr. Slaa kuzindua Kanda ya Pwani Jumapili

Ninavyojua mimi magamba lazima watakuwepo kushuhudia uzinduzi hata kwa kificho ila lazima watakuwepo na ni vizuri wawepo ili wajue kuwa CHADEMA ni zaidi ya chama
 
Mkuu wangu SEBM hakuna cha operesheni uzalendo labda operesheni wizi wa simu.

Mimi huwa napata Shida sana na Hawaii wanasiana wanatukusanya wanahubiri mambo Mengzi ya matumaini halafu hawatekelezi hats mojarra badala Yale wao wanaendelea kupata ruzuku wananufaika na familia zao na sisi tuna ischia kuandamana na kuachwa na uchovu ambassador haunafaida
 
Last edited by a moderator:

We endelea kuhesabiwa idadi ya post hapo Lumumba kwani hata usipokuja kwenye mkutano wetu bado watu wengine wanaojitambua watakuja.
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.

Wamefanya kazi hizo kwa siku nyingi sana sembuse na occational events?
 
We endelea kuhesabiwa idadi ya post hapo Lumumba kwani hata usipokuja kwenye mkutano wetu bado watu wengine wanaojitambua watakuja.

Pamoja sana mkuu Mwita Maranya.Mkuu kuna mdau kasema ametumiwa sms inayosema uzinduzi ni tarehe 13 Jumamosi.Ukiwa kama mdau mkuu wa kanda hii tuondolee huu utata.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Molemo ,

Hivi aliyekuwa mgombea wa Ubunge na pia Ubosi wa BAVICHA atakuwepo?

Huyu hapa na shosti wake Juliana wanapanga mkakati wa kutoa matusi kwa Slaa
20988_353448711425875_588088391_n.jpg
 
Mimi huwa napata Shida sana na Hawaii wanasiana wanatukusanya wanahubiri mambo Mengzi ya matumaini halafu hawatekelezi hats mojarra badala Yale wao wanaendelea kupata ruzuku wananufaika na familia zao na sisi tuna ischia kuandamana na kuachwa na uchovu ambassador haunafaida

Ni vizuri ukatuwekea na ushahidi wa hayo uliyoropoka , vinginevyo Jf kuna hata Jukwaa la Mapenzi , unaweza kujikita hapo !
 
Safi sana , mwacheni Mwigulu aendelee na mipango yake ya bongo muvi , lakini CDM inachanja Mbuga !
 
Pamoja sana mkuu Mwita Maranya.Mkuu kuna mdau kasema ametumiwa sms inayosema uzinduzi ni tarehe 13 Jumamosi.Ukiwa kama mdau mkuu wa kanda hii tuondolee huu utata.

Mkuu Molemo taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kanda utafanyika Kibaha siku ya Jumapili tarehe 14/04/2013 kuanzia muda wa saa nane mchana.

Kabla ya mkutano wa hadahara mjini Kibaha kutakuwa na mkutano wa ndani siku ya Jumamosi tarehe 13/04/2013 katika ukumbi wa Ubungo plaza kuanzia saa mbili asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Nimepata hii habari; ya kwamba, Jumamosi tarehe 13 April 2013, katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Kutakuwa na mkutano wa ndani wa ufunguzi wa kanda hii ambayo ilichapwa maneno makali na Tundu Lisu, kwamba imelala. Wageni rasmi watakuwa viongozi wakuu wa chama cha CDM.

My Take: Hii itakuwa ni revival ya M4C Dar es Salaama. Nitakuwepo, na 10,000 ya ticket ninayo.

Kama kuna ufafanuzi zaidi naomba uwekwe humu

Pia nimesikia kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Maili moja (Kibaha), siku ya Jumapili tarehe 14 April 2013. Naomba uthibitisho.

CC Aweda, Mnyika, Savimbi, Ritz
 
Mkuu Mwita Maranya asante sana kwa kumtoa wasiwasi mkuu kalikenya
 
Last edited by a moderator:
Nimepata hii habari; ya kwamba, Jumamosi tarehe 13 April 2013, katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Kutakuwa na mkutano wa ndani wa ufunguzi wa kanda hii ambayo ilichapwa maneno makali na Tundu Lisu, kwamba imelala. Wageni rasmi watakuwa viongozi wakuu wa chama cha CDM.

My Take: Hii itakuwa ni revival ya M4C Dar es Salaama. Nitakuwepo, na 10,000 ya ticket ninayo.

Kama kuna ufafanuzi zaidi naomba uwekwe humu

Pia nimesikia kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Maili moja (Kibaha), siku ya Jumapili tarehe 14 April 2013. Naomba uthibitisho.

CC Aweda, Mnyika, Savimbi, Ritz
 
Kanda ya pwani itakuwa ina nguvu sana bt this time tuwe makini na wanasiasa wa tumbo kwani kwa hapo dar ni wengi sana.MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ
 
Nimepata hii habari; ya kwamba, Jumamosi tarehe 13 April 2013, katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Kutakuwa na mkutano wa ndani wa ufunguzi wa kanda hii ambayo ilichapwa maneno makali na Tundu Lisu, kwamba imelala. Wageni rasmi watakuwa viongozi wakuu wa chama cha CDM.

My Take: Hii itakuwa ni revival ya M4C Dar es Salaama. Nitakuwepo, na 10,000 ya ticket ninayo.

Kama kuna ufafanuzi zaidi naomba uwekwe humu

Pia nimesikia kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Maili moja (Kibaha), siku ya Jumapili tarehe 14 April 2013. Naomba uthibitisho.

CC Aweda, Mnyika, Savimbi, Ritz

Habari ni ya kweli kabisa kamanda. Jipange kuwepo siku hizo zote mbili Ubungo Plaza na Kibaha.

Mkuu Molemo taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kanda utafanyika Kibaha siku ya Jumapili tarehe 14/04/2013 kuanzia muda wa saa nane mchana.

Kabla ya mkutano wa hadahara mjini Kibaha kutakuwa na mkutano wa ndani siku ya Jumamosi tarehe 13/04/2013 katika ukumbi wa Ubungo plaza kuanzia saa mbili asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri makamanda wetu nilikuwa mbeya nimeona viongozi wa kanda ya nyanda za juu kusini wakiwa wamejizika kwenye mpango mkakati wa kanda na kwa kweli hii decentralisation itakuwa kiboko kwa MACCM
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.
...mtabana mtabana.. mtaachia, tena mtaachia kwa aibu mbaya...hakuna kulala mpaka kieleweke...
 
Nimepata hii habari; ya kwamba, Jumamosi tarehe 13 April 2013, katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Kutakuwa na mkutano wa ndani wa ufunguzi wa kanda hii ambayo ilichapwa maneno makali na Tundu Lisu, kwamba imelala. Wageni rasmi watakuwa viongozi wakuu wa chama cha CDM.

My Take: Hii itakuwa ni revival ya M4C Dar es Salaama. Nitakuwepo, na 10,000 ya ticket ninayo.

Kama kuna ufafanuzi zaidi naomba uwekwe humu

Pia nimesikia kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Maili moja (Kibaha), siku ya Jumapili tarehe 14 April 2013. Naomba uthibitisho.

CC Aweda, Mnyika, Savimbi, Ritz
Mkuu pitia kwa huu uzihttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...dr-slaa-kuzindua-kanda-ya-pwani-jumapili.html
 
nina barua ya mwaliko wa hii kitu na ya kikao cha ndani cha tarehe 14...nitahudhuria vyote
 
Back
Top Bottom