Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Mkuu wangu Molemo
Ina maana ile OPERESHENI UZALENDO na Kujifungia kwenye vyumba vifinyu vya Gesti na wale waasi waliolaaniwa, ataifanya akiwa mtu wa kawaida tu? Yaani si mwanachama wa Chama Chochote au ataifanya kupitia CHAUMA?
CHADEMA ni zaidi ya CHAMA. Ni zaidi ya Taasisi. CHADEMA ni mioyo ya watanzania wote wanyonge, wanaoonewa. Wanaoteseka.
Mkuu SEBM
Hapo kwenye red,Tangu wajue kutumia kompyuta vidole vinawawasha tu mkuu.
They are just one of those Wannabe keyboard warriors living somewhere.
Last edited by a moderator: