Mbowe, Dr. Slaa kuzindua Kanda ya Pwani Jumapili

Dr slaa aeleze umma vizuri siku hiyo kuhusu ile sumu aliyomtuma sa8 akamuue nayo zitto.
 
Ninavyojua mimi magamba lazima watakuwepo kushuhudia uzinduzi hata kwa kificho ila lazima watakuwepo na ni vizuri wawepo ili wajue kuwa CHADEMA ni zaidi ya chama

Wanakuwepogi,sema wale kindakindaki wanatiaga huruma!Wanaumiaga ndani kwa ndani,hawaamini macho yao yakionacho,Yaani mh!!!Inauma lakini ndio hivyo tena Watanzania washaamua baada ya kunung'unika ndani kwa ndani kwa muda mrefu@na hapo ndipo pale hata yule aliyesusaga siasa(aliyekata tamaa)anarudi akiwa na ari zaidi(mori),nguvu mara dufu haitoshi(mzuka) wa kiu ya mabadiliko na hapo ndipo inapozaliwa hii nguvu ya Ma- people,ambayo ni hatari sana kwa magamba yalogandana"PALE NDIPO INAPOPATIKANA KWELI"isiyo na gharama kuitambua" NA KWELI SMTM INAUMA NA NI NGUMU KUMEZA".unaweza rusha ngumi usipotuliza akili.:violin:😛eace::nerd:
 
Ningeshangaa kama nisingesikia kuna maandamano. Natumaini wananchi wa Pwani (Kibaha) badala ya kwenda kuandamana na kuwasikiliza watu wasiotaka nchi itawalike watautumia muda huo kujifanyia shughuli zao za kimaendeleo.

Mkuu Sumu pamoja na pu.mba zako mzima lakini.!!
 
Last edited by a moderator:
ng'ombe (2).gif
"Tender yako imewafaidi wao lip, lichee ya wewe kwa ajili ya bozo"
 
Kila la heri, nawaombea sana Chadema ila plse toeni Elimu juu ya propaganda chafu ya ccm kwamba imeproof failure.
Dr Slaa wangu tueleze watz tunakuombea sana.
 
Usijali mkuu yote yatatekelezwa.
 
Dr slaa aeleze umma vizuri siku hiyo kuhusu ile sumu aliyomtuma sa8 akamuue nayo zitto.

mkuu BUNGENI, hivi wewe na propaganda zako hzo ni kwa manufaa ya nani? bila shaka ni mmoja wa walitajwa na nape kuwa watakuwa wanawajibu wa kufuatilia story za mitandaoni ili kupunguza kasi ya CDM je. we unadhani utaweza kweli,. hebu weka mbele maslah ya taifa na cyo kakundi kadogo kwa ujira wa ck chache. kuweni wazalendo na hebu kuwa mstaarabu.
 
Mkuu achana na huo msukule.
 
Back
Top Bottom